Mmemchagua Kikwete kwa 60% Sasa Mnalalamika nini Umeme, Maji na Mafuta!!!. Wanafiki

anakwazwa na LI MFUMO otherwise ni rais jasiri

mfumo (kwamaana ya taratibu/kanuni za kiutendaji, sheria zetu hasa hizi zilizoasisiwa na mafisadi kwa maslahi yao, na swala la kila mtu asikilizwe yaani haki za binadamu kwa maana ya hata hao waliotufikisha hapa nao walindwe kwa madai ya haki pamoja na ufisadi walioutenda, mfumo unaomjali sana mkubwa/kiongozi kwa kumpa posho kubwa kubwa, kama sheria ya mafao kwa viongozi wa kisiasa ya mwaka 1999, unaweza kuona namna ambavyo imelenga kumpa mapato makubwa huku ikimchilia mbali mtumishi yeyote kama mwal aliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 36 kwa kupata 36m/= huku mbunge/mkuu wa wilaya nk akipata 92m/= mpaka 130m/= kwa madai ya kumpatia winding up allowance ya 50% ya mshahara wake kwa miaka 5 na 50% gratuity. kwa ujumla mfumo uliopo unahitaji kwanza wakuu wetu kwanza kujikana nafsi zao, warudi kwa watu kwa kubadili sheria/mfumo uliopo.
 
Malalamiko yetu ni sawa na mwanamke anayelalamika kuwa abused na mumewe lakini bado yuko ndani ya ndoa..Kamundu mkuu wangu shukran sana na hii itawatia moyo wale wanaopenda kuendelea kuichagua CCM kutolalamika. Wasiopenda kwenda kupiga kura kwa sababu haiwapendi CDM au CUF kujivuta wakapige kura next time against..Hizi zote ndizo sababu zilizomweka JK madarakani na hatukulamishwa..
JK hawezi kubadilisha matokeo ya asilimi 90.. na siku ikifika hivyo ujuwe hata Bungeni, uwanja wa Taifa hawezi kukanyaga n.k. - mifano ya viongozi walioshindwa na wakalazimisha kuingia Ikulu, tumeona matokeo yake..
 
Watanzania hao hao waliomchagua Kikwete kwa 60% sasa eti wanakuja kulalamikia Maji, Umeme na Mafuta. Sasa Mlitegemea nini wakati kila mtu anajua JK hawazi Kuongoza nchi??. Mmejitakiwa wenyewe na Muache unafiki kama vile mlikuwa hamjui wakati upinzani ulikuwa unasema bayana kuhusu uwezo wa JK. Kama Mnataka mabadiliko yanatakiwa yaanze na watu na kama umempigia kura JK wewe ni sababu mojawapo ya tatizo hivyo usilalamike!
<br />
<br />
upo sawa Mkuu. Lakini tambua kwamba Jk hakuchaguliwa nananchi, bali NEC na dola ndiyo iliyomweka Ikulu. Hata hivyo jamani tujipange tumwondoe huyu Jamaa haraka pale Ikulu kabla ya 2015, kwa kutumia ibara ya 8 ya katiba. Ikiwezeka tumkate kichwa kuonyesha hasira zetu.
 
Back
Top Bottom