Watanzania hao hao waliomchagua Kikwete kwa 60% sasa eti wanakuja kulalamikia Maji, Umeme na Mafuta. Sasa Mlitegemea nini wakati kila mtu anajua JK hawazi Kuongoza nchi??. Mmejitakiwa wenyewe na Muache unafiki kama vile mlikuwa hamjui wakati upinzani ulikuwa unasema bayana kuhusu uwezo wa JK. Kama Mnataka mabadiliko yanatakiwa yaanze na watu na kama umempigia kura JK wewe ni sababu mojawapo ya tatizo hivyo usilalamike!