Mmeamua kulinyamazia janga hili?

mapanga3

JF-Expert Member
May 1, 2012
665
633
Tukio la mauaji ya mwandishi wa habari wa chanel ten yaliyofanywa na polisi Iringa, nilitegemea kuona au kusikia msimamokutoka kwa waandishi wa habari nchini mkilaani tendo hilo la kinyama lkn nililoshuhudia ni kauli za kujichanya, huyu anasema hivi na mwingine vyake hii inaashiria hakuna umoja kati yenu. Tukio hili kama mtalifumbia macho mtaendelea kuuwawa mmoja baada ya mwingne. Serikali haiwezi kusimama upande wenu kwa sababu wanaweza kuwa ni wahusika kwa namna moja au nyingine. Nilitegemea kuona mnagomea kuandika wala kutangaza habari zinazo husu serikali mpaka watakapochukua hatua dhidi ya jesh la polisi lakini badala yake mnachapakazi kama kawaida au ndiyo njaa nini! Bado tunaendelea kungoja kusikia kutoka kwenu fungukeni mueleweke.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom