Mme Kuvalishwa Chupi ya Mkewe

kabla sija comment naomba uniambie unavaa chupi zake zipi? G string au?

Obviously mkewe hawezi kumvalisha G strings! Maaana hata David Beckham huwa anavaa chupi za Victoria akiwa anacheza mpira, inasemekana!
icon10.gif
 
Ah I wish ningekuwa ndio wewe ! Wala nisingekuja kulalama! Hebu toa ushirikiano na wewe mpe za kwako!
 
huyo ana mtega tu, ingekuwa nia ni mapenzi basi asingemkagua akirudi nyumbani. Nia yake ni kutaka kujua kama mumewe huwa ana-cheat mchana na mwanamke mwingine, say at lunch time or whatsoever. Lazima manii zitababaki baki na kuganda kwenye chupi hata mwanaume angeoga vipi. Au hata harufu yake pia huwa inabaki.

Sasa kwa wataalamu wa cheating hapa mjini huwa wanabeba chupi za ziada kwenye buti la gari.....!!! Akimaliza ku-cheat anaoga, kisha anavaa chupi kwa masaa kadhaa, halafu muda mfupi kabla ya kwenda home anajisafisha na anavaa chupi nyingine iliyo safi.

angalizo: Sijasema wanawake mkakague mabuti ya magari ya waume zenu, shauri yenu, mimi simo

kwa mantiki hiyo mwanamke anajiona mjanja kumbe anafanya ujinga na mwanaume anajiona anapendwa kumbe anafanyishwa ujinga!!
Mambo gani hayo mtu mzima unavishwa kachupi ka mwanamke mwishowe huyo mwanamke atamuambia huyo jamaa sasa zamu ya kuvaa chupi chafu zake huyo mwanamke, mimi naona huyo mwanamke na huyo mwanaume wana mapungufu makubwa !
Matokea yake hata watoto wao wataiga.
Dada anamvisha kaka chupi zake.
Kweli kumbe hata hapa bongo kuna vioja nilijua kwa wazungu tu ndio vipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom