Mmbwana Samatta special thread

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
882
1,029
Nimeamua kufungua page hii special kwa Mbwana sammata ambaye ni Mtanzania pekee na anaeipeperusha

1472149301133.jpg
 
nahangaika hapa kutafuta livestream mpaka nimechoka mwenye nayo basi atupie hapa
 
me pia nimepita livescore nikaona hii kitu... na nia nilitaka kuona goli kafunga nani? duuuuuuh,samagoal kama kawaida. dogo atatisha kama akipewa nafasi.
 
Mbwana Samatta you are my hero. Mpaka nimeweka Hero wa Enrique
 
Duhhh wabongo bana yani chuki hatuachi hadi kwa mashujaa wetu, tukikutana kwenye ubishani wa mess na ronaldo ndio tujitenge ila kwa samatta hebu tuweni wazalendo khaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom