Mmasai wa Marekani

MDAU JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
451
82
Ndugu Huyu anapata adhabu hii kwa kosa gani?
 

Attachments

  • Masai.JPG
    Masai.JPG
    39.7 KB · Views: 303
Ndugu Huyu anapata adhabu hii kwa kosa gani?

Marekani wapo wengi tu hasa State za kusini mwa Marekani kama Louisiana, Alabama, Mississippi, nk Ni kabila fulani wanautamaduni wao. Ukiwaona hasa ambao ni wa bush hasa hata nguo zao huwa hawafui tangu zikiwa mpya hadi zinachakaa. Na wanashona viraka sana. Ila hawatembei nusu uchi kama walioendelea. Jasa wamawale wamakofimola vvema. Wanaogopwa sana na Wamarekani walioendelea kwa vile inaelekea ni washirikia sana.
 
Back
Top Bottom