fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 355
- 51
Mmasai moja alikwenda hospitali na baada ya dokta kumpima ilibidi amdunge sindano ya makalio.wakati dokta anamdunga sindano mmasai alimfokea dokta na kumwambi "yero! Kwani wee apana kuona hio tundu hapo nyuma mpaka unatoboa ingine??"