Mmarekani Mitaji kwenye Mabenki Mchina kwenye Midoli na Maua nani Zaidi?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Katika nchi ambazo ziko juu kwenye maendeleo kama si marekani ni china, lakini cha kushangaza mchina yeye pesa zake nyingi haiingizi kwenye biashara za kibenki kama alivyo mmarekani, cha kusangaza kwao technology ndio inazidi kukua zaidi na pesa wanavuna Afrika kwa kutuuzia midoli, pampasi, pamba, vijiko , viatu na piki piki, kumbe mchina ndio hatari zaidi duniani kwani anajua jinsi ya kudeal na watu , anajua wanataka nini, ni mtu anayependa kudadisi sana, ni mtu anayejua yaliyochumbani kwani tumemfanya mwanetu, ila tunamshukru kwa kuleta usawa kwani tunapokuwa pamoja, wewe umevaa kiatu cha mchina mie nimevaa cha Itale au France tukiwa tunaelekea kanisani wote tunafanana, wewe utavaa cha ten mie cha 120. ilimradi tusigonge jiwe maana yeye sole ataacha hapo hapo. tukikutana wote tunaendesha piki piki wote tuko sawa, labda usimamishe kwa uchunguzi zaidi ndio utajua, kama ni honda itaitwa hondae.

Kwa mmarekani huyu naona hatusaidii chochote kwani hatuna cha kuigiza kutoka kwake, tuigize nyukilia?, tuigize mitambo ya Richmonde, au tuigize ndege za kivita Hawk? bora tukae na mchina wetu huyu huyu aliyeamia kwenye magari ya Yutong, na Ambros ya bei chee baadaye anaweza kuamia kwenye kilimo kwanza habadilishe mito yote iwe mabwawa kuanzia moro mpaka Dodoma hapo ndio ukame utakuwa kwaeli, umatonya wa chakula utaisha kwani mtu akikuudhi unandunda kwa chungwa au peasi. Naelekea kuwa na uchungu kwa huyu mmarekani anayeyetutesa na mitindo ya ajabu huku akieneza kwa kasi ualibifu wa mazingira kwa kutuuzia nguo zilizochanika kuanzia miguuni hadi kiunoni huku nyeti zetu tukiziacha nje, ingawaje TBS zinapita kama kawaida.

Kama mmarekani alifungua mitambo kibao yakutengeneza net za mbu eti kuna dawa ya miaka mitano, kumbe uongo mtupu, kwani mbu unapita kama kwao.

Basi kwa kuwa bidhaa nyingi zinatoka china basi badala ya dola tuanze kutumia hela za kichina tu, kwani dola inatuumiza.
 
Back
Top Bottom