Mmarekani auwa raia 15 wa Afghanistan

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
[h=1]Mmarekani Kichaa auwa raia 15 wa Afghanistan[/h]
11 Machi, 2012 - Saa 14:42 GMT



Mwanajeshi wa Marekani aliyehemkwa, aliuwa raia 15 majumbani mwao, wakiwemo watoto tisa, katika jimbo la Kandahar, Afghanistan, Jumapili alfajiri.
120311101631_afghanistan_soldier_304x171_reuters.jpg


Mwanajeshi huyo anazuwiliwa na inasemekana alipagawa kabla ya mauaji hayo.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Leon Panetta, alisema amesikitishwa sana na tukio hilo.
Mauaji hayo yametokea wakati kuna mvutano katika uhusiano baina ya Waafghani na wanajeshi wa Marekani, baada ya Kurani kuchomwa kwenye kambi ya Marekani mwezi uliopita, na kuzusha maandamano ya ghasia sehemu mbali mbali za nchi.

source:BBC
 
Kwani huwa hawapimwi afya zao?? Anaachwa hadi kaleta maafa kwa watu wasio na hatia...
 
wewe katavi usiwe ****....kazi wanayofanya wanajeshi inatosha kukufanya mtu kichaa.. mbona kila siku wanaua raia?
 
Back
Top Bottom