Mmakonde na Mpemba

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,076
Habari zenu wandugu,ni hivi cc Wabongo wengi tuna tabia ya kuwaona Wamakonde na majina yao kama watu wa ajabu kwa kujipa majina ya vitu lkn hata wazungu mbona wanajiita hivyo angalia majina haya halafu tafsiri,
1.Livingstone
2.Washington
3.Peter
Na mengine mengi ambayo kwa kiswahili hayajatulia ila kwasababu huwa yanatamkwa kwa inglishi basi tunayaona babu k kuliko wamakonde ambao wanajiita laivu aki Msumali(Nchumali)
Basi mpemba alikutana na Mmakonde na mazungumzo yakawa hivi:
MPEMBA:unaitwa nani ndugu yangu?
Mmakonde hakujibu ki2 ila alishika KOO lake na kushika UUME akimaanisha anaitwa KOMBO,mpemba hakumpata lakini baada ya kufikiri muda mrefu naye akamuelewa kuwa anitwa KOMBO
MPEMBA:Unaitwa Kombo bin nani sasa?
MMAKONDE:Nchumali(Msumali)
Basi Mpemba akaanza kuongea nyie watu vp majina ya ajabu nyie majina yote yaliyokuwepo hamuyaoni mpaka mnajiita Nchumali?Mmakonde ikabidi amjibu
MMAKONDE:Umeenja chacha(umeanza sasa) mbona nyie mnaitwa MAFTAH,hiko si kiarabu kiswahili maana yake UFUNGUO?
 
Back
Top Bottom