Mmakonde kwa utambulisho! Usipime!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Anamtambulisha mdogo wake kwa rafiki zake'," Rafiki jangu,nyie kummona uyu bwana ndogo, yeye wa kunifatia mimi. Baada ya kuzaliwa mimi,na ule nchezo kumnogea mama,basi ndo kumpata huyu ndogo wangu tumbo moja, baba mmoja mama mmoja".
 
Back
Top Bottom