Mlugo kumbuka cheo ni dhamana tekelezeni madai yetu

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
MLUGO

Nimekuona ukitoa vitisho morogoro kuwa mgomo ni batili lakini nafikiri ujumbe umeupata kuwa wewe na viongozi wa kisiasa si tishio tena dhidi ya walimu kutokana na uongo wenu Walimu tumechoka kudanganywa. wewe fanya yale tunayoyataka,.

Hata hivyo, kumbuka cheo ni dhamana leo upo wewe kesho atakuwa mwingine.

"BE NICE TO THE PEOPLE WHEN YOU GO UP SINCE YOU MAY MEET THEM WHEN YOU COME DOWN."
 
Ujumbe mzuri kabisa kwa Mulugo, hata kama haingii humu, bila shaka wana ccm wengi sana watamfikishia taarifa. Hasa hapo mwisho kwenye capital letters. Safi kabisa. Waambie wasitu chezee waalimu, sisi siyo midoli !!!!
 
Mkuu umenena. Halafu nackia huyo alikuwa headmaster tu muda si mrefu uliopita kwa nini ajifanye amekwea?
MLUGO

Nimekuona ukitoa vitisho morogoro kuwa mgomo ni batili lakini nafikiri ujumbe umeupata kuwa wewe na viongozi wa kisiasa si tishio tena dhidi ya walimu kutokana na uongo wenu Walimu tumechoka kudanganywa. wewe fanya yale tunayoyataka,.

Hata hivyo, kumbuka cheo ni dhamana leo upo wewe kesho atakuwa mwingine.

"BE NICE TO THE PEOPLE WHEN YOU GO UP SINCE YOU MAY MEET THEM WHEN YOU COME DOWN."
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom