Mliosoma Kwiro kwa kimbunga Man Walter!

mbona mwoga wewe!! stay safe mdogo wangu. kimbunga is no longer in this mjengo. me mmoja wapo ni tunda la pale Kwiro enzi hizo. i miss Mzèe Komando, mama Mwana, fanga etc etc etc
 
mbona mwoga wewe!! stay safe mdogo wangu. kimbunga is no longer in this mjengo. me mmoja wapo ni tunda la pale Kwiro enzi hizo. i miss Mzèe Komando, mama Mwana, fanga etc etc etc
<br />
<br />
Emb niinbox kuhusu weye kayokaaaaa
 
mbona mwoga wewe!! stay safe mdogo wangu. kimbunga is no longer in this mjengo. me mmoja wapo ni tunda la pale Kwiro enzi hizo. i miss Mzèe Komando, mama Mwana, fanga etc etc etc
Kwa hiyo ulipiga sana sumu na Kula baa eeeeh!! Ulikuwa Mandela/Nkurumah Dom au nyerere Dom?
 
Du,, nyie vijana. Mmenikumbusha mbali sana. Enzi zetu kuliwa na AZIMIO, MWENGE, MAPINDUZI, ndiyo mabweni. Sehemu.maarufu ni, KWA SISTA CHOMA, na MBAGULA. Nawenge na Kasita. Zingine. Nimesahau..zama hizo....Mlima Ndororo ilikuwa hatari.
 
Hahahhahaha nimewai kiwa HC KARUME DOM mama mwanaa mandazi na ujiii sanaaa SEBIA
 
Du,, nyie vijana. Mmenikumbusha mbali sana. Enzi zetu kuliwa na AZIMIO, MWENGE, MAPINDUZI, ndiyo mabweni. Sehemu.maarufu ni, KWA SISTA CHOMA, na MBAGULA. Nawenge na Kasita. Zingine. Nimesahau..zama hizo....Mlima Ndororo ilikuwa hatari.
Mkuu umesahau bweni la ujamaa, wewe ni mkongwe mwenzangu, nilisoma pale kipindi Anton Magambo akiwa mkuu wa shule, kulikuwa na vijana watukutu kutoka Tambaza walihamishiwa pale, lakini kwa mkuu yule tulitia akili.
 
Duu, kweli kijana wa zamani. Enzi zetu Mto Kilombero ukifirika, Pantoni haifamyi kazi. Basi wali na samaki ilikuwa ndiyo ni mlo wa mchana na jioni. Tulikuwa na lori la kichina linafuata mchele na samaki wakavu pale kivukoni. Mwisho wa juma tunapata mziki wa dansi kutoka bendi yetu ya Kwiro Jazz; mpiga solo maarufu alikuwa akiitwa Nyoni. Washiriki walitoka pale juu kanisa Katoliki katika chuo cha maarifa ya nyumbani, wakijulikana kama "domestic". Duu zamanii sanaaaa!!!! Mpira wa miguu,ndiyo usiseme....
 
Back
Top Bottom