Mlokole na mlevi

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Mlevi alipanda basi moja na mlokole,
mlokole akaanza kumhubiria"mpendwa mrudie bwana kwani hata mbinguni kuna pombe lakini haileweshi,kuna bangi lakini hairushi akili,kuna mirungi lakini haina handas"
mlevi akamjibu "we ishia hapohapo usije ukasema kuna wanawake lakini hawana ku**"
mlokole kimyaaa....!
 
Back
Top Bottom