Mlokole aliyeifedhehesha weekend yangu...

mpigie mwambie na wewe umeona maono ya pepo litapiga likijidai mlokole ili aaribu ndoa na limeshindwa maono yametimia kwani mda na wakati wa maono ndo huo aliopiga dawa ya moto no moto
 
Hahahaha! Dini zinafanya watu kua vichaa, waafrika wanaendeshwa sana na mifumo ya dini hapo hajaota chochote maana haman Roho mtakatifu anaeweza kumuonyesha huo upuuzi, anyway am sorry.
 
ameoneshwa na Bwana au anakutamani, nadhani kama usemacho ni kweli, huyo ni mlokole feki-counterfeit- Yesu hana watu wa aina hiyo
 
Ndio nini hii huyu mtu kutumia jina la bwana mungu kwa mambo yake machafu...
myuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Hujui kama usilitaje jina la bwana mungu wako bure...:A S-fire1:
 
Haya yamenikuta, mwanamke mlokole tena mzee wa kanisa amaye ni mjane aliniambiwa ameonyeshwa kwamba mimi ni mtarajiwa mume wake na alikuwa anasubiri tu muda ufike tuoane wakati anajua fika nimeoa, nilipata shock ya mwaka,Unajua nilichanganyikiwa nikafikiri huyu anataka kumuua mke wangu nini? hila nilimjibu kistaarabu kwmba yeye ni mtoto wa Mungu na hatakiwi kufanya mambo hayo ambayo ni ya kishetani na hayapo katika mapenzi ya Mungu. Hizo ndiyo nguvu za giza kutaka kuleta mafarakano kwenye nyumba hasa yumba za wakristo. Nye ambao mmeoana na mnamjua Mungu jilindeni sana na hayo mapepo. Wanaume wamechukuliwa na wanawake wamechukuliwa na kuacha nyumba zao hila mwisho wa siku watakuja kujuta.
 
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.

:bump2: Naomba akipiga simu tena huyo jamaa umwombe kwa niaba yangu aongee tena na huyo roho mtakatifu ampe namba ya simu ya beyonce... maana nimeota ndoa yake na jay-z itavunjika na mimi ndio nitakua mume wake wa baadae
 
ayaaaa umeileta hadi huku :shock::shock::shock::shock:
FirstLady1 cheusimangala juzi kasema tunazidiwa na vibabu . Sasa tufanyeje . Ndio tunaamua kujilipua kilokole. Teh teh teh . Anyway sikati tamaa teh teh :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: . Mbele ya Holy spirit hakuna kurudi nyuma.


Ndio nini hii huyu mtu kutumia jina la bwana mungu kwa mambo yake machafu...
myuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Hujui kama usilitaje jina la bwana mungu wako bure...
A%20S-fire1.gif

Mhhh Egyps-womenjamani hayo mambo machafu ni yepi tena mweeeee . Wadada wa siku hizi toka Azimi o la bejing lipite wakali kweli . RB za kutongoza nasikia zinazaja mashelf Polisi
 
first lady, nilikuwa nakuheshimu sana. lakini kwa thread hii, naona kama unashuka kiwango; je? nia yako ni kuwashambulia walokoke au ni nini? unachotaka kutoka kwa wachangiaji nin ini? what is your utmost intention kuleta mada hii? ni kweli kuna mlokole alifanya hivyo au umetunga tu story ili kuwashambulia na kueneza chuki dhidi ya walokole...tafadhali, kama ni kweli sawa, lakini kama si kweli, nakushauri ondoa thread. sisi sote zamani tulikuwa tunawashambulia san awalokole hata kuwa kuwapiga, lakini tumejua ukweli.

umejua kweli au "ukweli!"
 
Hongera sana bwana kumbe bado unaoleka! Yaani mtu kazimika hadi anamsingizia mungu....alijua akikwambia kavu kavu utamtoa baru akaamua kuboresha kidogo...
 
ayaaaa umeileta hadi huku :shock::shock::shock::shock:
FirstLady1 cheusimangala juzi kasema tunazidiwa na vibabu . Sasa tufanyeje . Ndio tunaamua kujilipua kilokole. Teh teh teh . Anyway sikati tamaa teh teh :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: . Mbele ya Holy spirit hakuna kurudi nyuma.




Mhhh Egyps-womenjamani hayo mambo machafu ni yepi tena mweeeee . Wadada wa siku hizi toka Azimi o la bejing lipite wakali kweli . RB za kutongoza nasikia zinazaja mashelf Polisi

haha Mtazamaji acha maneno ..leo kuna mambo yananisibu sina raha hata kidogo..
 
Hongera sana bwana kumbe bado unaoleka! Yaani mtu kazimika hadi anamsingizia mungu....alijua akikwambia kavu kavu utamtoa baru akaamua kuboresha kidogo...
madame T
Kumbe unadhani nimezeeka.?.:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea inakatika,
Ikaita tena ..Ile napokea napokelewa na salam ya bwana asifiwe
OOh nikaitikia kwa amani zote amina na wewe bwana asifiwe.
mala simu ikakatika .
mpendwa akaendelea sasa kubeep nikipiga hapokei ndipo nilipoamua kumtumia sms nikimwambia asinibeep.
Husband akasema piga.
Mlokole kapokea na sauti inatoka kila kona ya nyumba inasikika usiku
ooh nimefunga kwa muda wa week 3 nimeonyeshwa wewe ndo mke wangu mke mwema...najua hunijui sijui naitwa A.....
Naomba upokee maombi yangu...
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nikamwambia lakini mpendwa mbona nimeolewa nina familia tayari huyo roho mtakatifu aliyekuongoza amekosea
Jaribu kufunga tena.
Mlokole akasema ooh ndoa huwa zinavunjika ...
Na yeye yuko tayari kusubiri ndoa yangu ivunjike ili aje kuleta posa..
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????

Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:

Firstlady kwa heshima uliyonayo katika jamii hii tusingependa ututungie story halafu utegemee tuanze kuumiza vichwa kuchangia
 
hahahahaaa........ RR bana!! kwahiyo huyo dada nae anataka vituz au mume!
Bigirita[/FONT] unachezea nguvu za roho mtakavitu?

Pole FirstLady1 (halafu hebu nipe namba ya huyu jamaa nimuunganishe na dada mmoja anatafuta mme, hope tutaweza kumbadili mawzo huyo roho mtakavitu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom