Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 316
Pole sana, huyo ni mwizi kabisaa, tena ni mwizi asiyejiamini anataka tu kuvunja ndoa yako, anajua mwenye nyumba amerudi
Ndachuwa na kwa sasa imekuwa ngumu kutambua muumini wa kweli ni yupi,mungu atusameheFirstLady pole kama usemayo ni kweli yamekutokea. Ulokole siku hizi umekuwa kichaka cha kujificha waovu wa kila namna. Kina dada wengie over 30 years ambao ni single na wanajiita wameokoka ni wachafu kupitiliza na hawajui kuacha. Wengi kwa kuchanganyikiwa wamegeuka kuwa vimanda wa waleo waliowakataa huko nyuma na ambao ni waume za watu, nazungumza haya kwa uzoefu toka kwa dada zangu wa damu wanaojiita "Born again"
Jagermaster naona umepotea sana ndugu..Pole sana, huyo ni mwizi kabisaa, tena ni mwizi asiyejiamini anataka tu kuvunja ndoa yako, anajua mwenye nyumba amerudi
Jagermaster naona umepotea sana ndugu..
Dark CityDuuuuuuuuuuuuuu,
FirstLady1, pamoja na kwamba ni kisa cha kuhuzunisha sana ila nimejikuta nacheka kama chizi. Pole sana dada yangu.
Hiyo ndiyo mitihani ya maisha!!
That's a typical devil in action,
Babu DC!!
first lady, nilikuwa nakuheshimu sana. lakini kwa thread hii, naona kama unashuka kiwango; je? nia yako ni kuwashambulia walokoke au ni nini? unachotaka kutoka kwa wachangiaji nin ini? what is your utmost intention kuleta mada hii? ni kweli kuna mlokole alifanya hivyo au umetunga tu story ili kuwashambulia na kueneza chuki dhidi ya walokole...tafadhali, kama ni kweli sawa, lakini kama si kweli, nakushauri ondoa thread. sisi sote zamani tulikuwa tunawashambulia san awalokole hata kuwa kuwapiga, lakini tumejua ukweli.
FirstLady1,
Assumption yangu.
Mosi: that was just a random number picked to hear if there is a female voice on the other side. For that case, it was a wrong number.
Pili: huyo mtu ni tapeli, and he is trying to find a weak link ya kupenetrate his ideologies. Avoidg him.
Cha kufanya.
A. Block namba yake ili asikusumbue.
B. Save namba yake with the name 'mchawi' au 'tapeli' ili ujue siku akifanya mawasiliano na wewe, even after 3 months.
C. Since nina assume that he was dialling a random number, ianike hapa hiyo number, nasi tuirecord ili siku akipiga kwa wake zetu ijulikane he is on a mission.
For now!
THANX Endangered kwa advice zako be blessed
Ila sijui ku block number labda unipe maelekezo
Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:
Haya nadhan unalijua varangati langu la kukuharibia pozi linavokuwaga!Nishapata MBINU ya kuwapata vimwana..............Ahsante kwa Idea.............LOL Cantalisia asije soma hii maneno..........
Roho Mtakatifu amekosea!!........Funga tena!!!!
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????
: