Mlokole aliyeifedhehesha weekend yangu...

Sidhani kuna cha ulokole hapo
ilikuwa gear ya kuingilia akupate na inawezekana amechunguza na kupata no yako kwa watu na then kaamua afanye ujinga wake
Hakuna cha ulokole wala nini
Mpe zake za uso na mwambie tena mbele ya husband wako kuwa huo utoto na ujinga akawaambie wajinga wajinga wenzake
 
Duuuuuuuuuuuuuu,

FirstLady1, pamoja na kwamba ni kisa cha kuhuzunisha sana ila nimejikuta nacheka kama chizi. Pole sana dada yangu.

Hiyo ndiyo mitihani ya maisha!!

That's a typical devil in action,

Babu DC!!
 
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea inakatika,
Ikaita tena ..Ile napokea napokelewa na salam ya bwana asifiwe
OOh nikaitikia kwa amani zote amina na wewe bwana asifiwe.
mala simu ikakatika .
mpendwa akaendelea sasa kubeep nikipiga hapokei ndipo nilipoamua kumtumia sms nikimwambia asinibeep.
Husband akasema piga.
Mlokole kapokea na sauti inatoka kila kona ya nyumba inasikika usiku
ooh nimefunga kwa muda wa week 3 nimeonyeshwa wewe ndo mke wangu mke mwema...najua hunijui sijui naitwa A.....
Naomba upokee maombi yangu...
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nikamwambia lakini mpendwa mbona nimeolewa nina familia tayari huyo roho mtakatifu aliyekuongoza amekosea
Jaribu kufunga tena.
Mlokole akasema ooh ndoa huwa zinavunjika ...
Na yeye yuko tayari kusubiri ndoa yangu ivunjike ili aje kuleta posa..
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????

Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:
first lady, nilikuwa nakuheshimu sana. lakini kwa thread hii, naona kama unashuka kiwango; je? nia yako ni kuwashambulia walokoke au ni nini? unachotaka kutoka kwa wachangiaji nin ini? what is your utmost intention kuleta mada hii? ni kweli kuna mlokole alifanya hivyo au umetunga tu story ili kuwashambulia na kueneza chuki dhidi ya walokole...tafadhali, kama ni kweli sawa, lakini kama si kweli, nakushauri ondoa thread. sisi sote zamani tulikuwa tunawashambulia san awalokole hata kuwa kuwapiga, lakini tumejua ukweli.
 
pole mmmmmmmh
 
Nafikiri huyu ni msanii tu. Sio kila mtu anasema bwana asifiwe ni mlokole. It seems siku hizi watu wanatumia gia hizi za kilokole kwa interest zao. Hilo lisikupe shida, nafikiri litakuwa limekupa somo fulani kwa ajili ya baadae.
 
first lady, nilikuwa nakuheshimu sana. lakini kwa thread hii, naona kama unashuka kiwango; je? nia yako ni kuwashambulia walokoke au ni nini? unachotaka kutoka kwa wachangiaji nin ini? what is your utmost intention kuleta mada hii? ni kweli kuna mlokole alifanya hivyo au umetunga tu story ili kuwashambulia na kueneza chuki dhidi ya walokole...tafadhali, kama ni kweli sawa, lakini kama si kweli, nakushauri ondoa thread. sisi sote zamani tulikuwa tunawashambulia san awalokole hata kuwa kuwapiga, lakini tumejua ukweli.
Ubungoubungo

Mie mbona bado nakuheshimu sana .
hebu soma signatory yangu
 
Last edited by a moderator:
Mhhh, dada yangu hii kali sana, tena sana mno, mhhh!!!!!

Yaani Mpendwa AMEFUNULIWA kuwa wewe ndiyo Mke wake na utafunga naye ndoa?

Asije kuwa ndiyo huyu Baba Askofu mshughulikia WAJANE.

Mwambie Shemeji yangu ajihadhari sana kipindi hiki wasije wakam-Nnauye Jr kama ana bahati. Akiwa na bahati mbaya kidogo wanaweza kum-Mwakyembe na kama ana bahati mbaya kabisa basi hata wakam-KOLIMBA.

Wee Mpendwa acha kuwa FISI kwa kuvizia mkono ukatike. Nakumbea kwa SHETANI ili asikukaribishwe huko kwake na ushindwe kabisa kufika wala kuikaribia nyumba ya shetani.

Baba Mpendwa a.k.a. Baba Askofu, acheni watoto wa Wanaume wenzenu tuishi salama na Wake zetu.
 
Naomba namba yake nimtafute nimwongoze sala ya toba kwani analifedhehesha hekalu la bwana
 
FirstLady pole kama usemayo ni kweli yamekutokea. Ulokole siku hizi umekuwa kichaka cha kujificha waovu wa kila namna. Kina dada wengie over 30 years ambao ni single na wanajiita wameokoka ni wachafu kupitiliza na hawajui kuacha. Wengi kwa kuchanganyikiwa wamegeuka kuwa vimanda wa waleo waliowakataa huko nyuma na ambao ni waume za watu, nazungumza haya kwa uzoefu toka kwa dada zangu wa damu wanaojiita "Born again"
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa huo mkasa, hiki kitu nimekiona wapo watu wanatumia kivuli cha kilokole kuficha maovu yao. Pia sikatai kuwa kuna walokole safi pa
 
hawa watu wana matatizo,mie kuna mmoja anapenda tuombe pamoja,kila siku ananichomekea ameonyeshwa mpenzi niliye naye ataniumiza sana,na yeye wake Mungu amemwonyesha anamng'ojea tu kidogo atatoka kwa shetani,mambo kibao najua ananizungumzia mie,ooh ameoneshwa na roho,namvutia kasi
 
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea inakatika,
Ikaita tena ..Ile napokea napokelewa na salam ya bwana asifiwe
OOh nikaitikia kwa amani zote amina na wewe bwana asifiwe.
mala simu ikakatika .
mpendwa akaendelea sasa kubeep nikipiga hapokei ndipo nilipoamua kumtumia sms nikimwambia asinibeep.
Husband akasema piga.
Mlokole kapokea na sauti inatoka kila kona ya nyumba inasikika usiku
ooh nimefunga kwa muda wa week 3 nimeonyeshwa wewe ndo mke wangu mke mwema...najua hunijui sijui naitwa A.....
Naomba upokee maombi yangu...
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nikamwambia lakini mpendwa mbona nimeolewa nina familia tayari huyo roho mtakatifu aliyekuongoza amekosea
Jaribu kufunga tena.
Mlokole akasema ooh ndoa huwa zinavunjika ...
Na yeye yuko tayari kusubiri ndoa yangu ivunjike ili aje kuleta posa..
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????

Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:
Mpendwa kwanza pole. Angalizo!! Kikulacho ki nguoni mwako. Huyu ni mtu aliyetaka kukuharibia ndoa yako alifahamu kabisa mumeo alikuwa anarejea siku hiyo..
 
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea inakatika,
Ikaita tena ..Ile napokea napokelewa na salam ya bwana asifiwe
OOh nikaitikia kwa amani zote amina na wewe bwana asifiwe.
mala simu ikakatika .
mpendwa akaendelea sasa kubeep nikipiga hapokei ndipo nilipoamua kumtumia sms nikimwambia asinibeep.
Husband akasema piga.
Mlokole kapokea na sauti inatoka kila kona ya nyumba inasikika usiku
ooh nimefunga kwa muda wa week 3 nimeonyeshwa wewe ndo mke wangu mke mwema...najua hunijui sijui naitwa A.....
Naomba upokee maombi yangu...
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nikamwambia lakini mpendwa mbona nimeolewa nina familia tayari huyo roho mtakatifu aliyekuongoza amekosea
Jaribu kufunga tena.
Mlokole akasema ooh ndoa huwa zinavunjika ...
Na yeye yuko tayari kusubiri ndoa yangu ivunjike ili aje kuleta posa..
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????

Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:

Mkuu umenikumbusha zile novo za James H. Chase; zile fiction utadhani ukweli. Ukifika page ya mwisho, utatamani fiction iendelee. Characters kama: Vick Malloy, Mark Girland, Gilchrist etc ktk novo za Chase nawalinganisha na huyu mlokole na huyu Mleta uzi ndiyo Chase mwenyewe.
 
Mhhh, dada yangu hii kali sana, tena sana mno, mhhh!!!!!

Yaani Mpendwa AMEFUNULIWA kuwa wewe ndiyo Mke wake na utafunga naye ndoa?

Asije kuwa ndiyo huyu Baba Askofu mshughulikia WAJANE.

Mwambie Shemeji yangu ajihadhari sana kipindi hiki wasije wakam-Nnauye Jr kama ana bahati. Akiwa na bahati mbaya kidogo wanaweza kum-Mwakyembe na kama ana bahati mbaya kabisa basi hata wakam-KOLIMBA.

Wee Mpendwa acha kuwa FISI kwa kuvizia mkono ukatike. Nakumbea kwa SHETANI ili asikukaribishwe huko kwake na ushindwe kabisa kufika wala kuikaribia nyumba ya shetani.

Baba Mpendwa a.k.a. Baba Askofu, acheni watoto wa Wanaume wenzenu tuishi salama na Wake zetu.
Sikonge kuna mtu anataka kutoa mahari mala ya pili
hahaha..sijui kaka zangu mtapokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom