Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
Sasa mkuu nikuulize...
Ni ipi kazi ya Waziri wa Ulinzi? Ni ipi kazi ya CDF? Ni ipi kazi ya TISS?
Ikiwa ni "act of God" hata mimi na wewe hatuwezi kuwalaumu, lakini endapo ikagundulika tumeanza kushambuliwa basi serikali nzima haina budi kuliachia taifa, JK mwenyewe kwa kinywa chake alidai "hakuna tishio la amani toka nje wala ndani ya nchi.
I have to a agree with you kuwa kama ni adui, kuna maswali mengi ya kujibu. Kuanzia hao wa usalama wa taifa, ambao wanachunga mipaka yetu.
Lakini sidhani kama Rais anaweza kuachia ngazi wakati wa vita. Maana hiyo itakuwa an act of cowardness. Kumbuka yeye ni amiri mkuu wa majeshi na ndo anaamuru nchi kuingia vitani.
Kwa maoni yangu, tukio lolote shtukizi, linaangukia mkononi mwa TISS. Maana wao ndo wanatakiwa ku-gather intelligence na ku-inform the right bodies!