Mliowahi kuajiriwa maendeleo ya jamii kwa level ya cheti piteni hapa

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
835
Ajira ni vipi katika maendeleo ya jamii?? Ni mashirika gani hasa binafsi ama NGO zinazoongoza kwa kutoa ajira za maendeleo ya jamii?

Ni vipi mshahara hasa kwa mtu wa level ya cheti maana nina binamu kamaliza mwaka wa pili huu yupo nyumbani hana cha kufanya. Mshahara kwa level ya cheti ni shilingi ngapi?
 
mbona laki 3 ni kidogo sana?
Mnapokosea vijana ndipo hapo!! Mnakimbilia kulalamikia na kianzio, fanya uchunguzi wa ziada kabla ya kuogopa hilo.

Hata hivyo mtu mwenye cheti unadhani aanze na kulipwa ngapi??
 
Mnapokosea vijana ndipo hapo!! Mnakimbilia kulalamikia na kianzio, fanya uchunguzi wa ziada kabla ya kuogopa hilo.

Hata hivyo mtu mwenye cheti unadhani aanze na kulipwa ngapi??
And more kwenye NGO nyingi huwa kuna seminar na makongamano (training mbalimbali) ambazo zitamsaidia kumsogezea kipato cha kukabiliana na hali ya maisha
 
Back
Top Bottom