Mlioolewa....

ha haaaaaaaaaaaaaaa. umenikumbusa kitu............. hapa nahisi kila siku kazi ya kutandika kitanda inakuwa yako, maana kama wa kwanza kuamka anatoka na vingine, na wa mwisho kuamka anatandika kitanda................

ewaaaa, hata hivyo huwa cpendi utandikaji wake, so hata akifanya mie lazima nije nirudie, cku kama jmc nikiwa nahitajika job nikimwacha amelala nikirudi mara nyingi nitarudia kutandika.
 
ewaaaa, hata hivyo huwa cpendi utandikaji wake, so hata akifanya mie lazima nije nirudie, cku kama jmc nikiwa nahitajika job nikimwacha amelala nikirudi mara nyingi nitarudia kutandika.

kila mtu na fani yake...............
 
FP, kwani watu wawe na pressure ya kupanga zamu sijui nini? Mimi naamini katika kuacha mambo yaende naturally. Mambo ya zamu yanaishia kwenye kero. Na kuna vitu mtu anavifanya vizuri zaidi eg Nyamayao na utandikajie au mimi na mambo ya kuamsha watoto asubuhi. So ni kuacha mambo yajipange na inapokuwa kwamba wote mnatakiwa kuwahi kazini.
 
kila mtu na fani yake...............

Kweli ila kuna kitu kimoja kinaniudhi sana, nacho watu kutaka kubanana bila sababu. Naturally, kuna mtu anakuwa msafi sana na mwingine anaweza kuwa hajali. Ili maisha yaende vizuri ni bora kumwelewa mwenzio. Imagine huyu mama aliyetajwa hapo juu ni mvimvu wa kazi za ndani. Kuna sababu yoyote ya mume wake kumdhalilisha mbele ya H/girl?
 
huyu sijui tumweke kwenye kundi gani, maana kama ni uvivu huu ni balaa. mi nadhani ni kiburi tu, kwamba wewe ni msichana wa kazi na utafanya kila ninalotaka mimi.
niliposema zamu, siku na maana leo wewe kesho mimi................ nilikuwa na maana ya kusaidiana, yaani hilo ni swala la wote, siyo mama peke yake............ maana kuna wababa wanajua kulala tu na kuleta hela nyumbani, mambo mengine hayawahusu
 
ewaaaa, hata hivyo huwa cpendi utandikaji wake, so hata akifanya mie lazima nije nirudie, cku kama jmc nikiwa nahitajika job nikimwacha amelala nikirudi mara nyingi nitarudia kutandika.
mh... Mama unayatapika kweli ya nyumbani kwako... Unaelimisha wengi!!
 
Mi ningefukuza Housegal palepale then nabaki na mume wangu tunaanza upya. Kwanza kwanini aniulize maswali hayo mbele ya HG?Kwani huo ubize si unaleta hela ambazo hata yeye anazitumia nifanyeje sasa? ila cha muhimu ni kila mtu kujua wajibu wake, mume akitimiaza yale yote anayostahili home hata ubize wa mke utapungua coz atatafuta tu pesa za nyngeza na sio for basic needs. Yawezekana huyo mke anafanya bidii sana ili aweze kuilisha familia. Ningeangalia ndani na nje ya hili jambo. Ubize u sidhani kama ni ishu kama mke anatimiza wajibu wake mwingine wote ie. akirudi home anakuwa busy na watoto na mumewe anapata haki yake etc.
 
Back
Top Bottom