Mlioolewa....

In Red- You can say that again kaka yangu marriage life is very complicated I admit.

I agree to you too kuwa wanaume wanatakiwa kubadilika but nafikiri si kitu rahisi kama tunavyofikiri. Mfumo mzima wa malezi unapelekea kumweka mwanaume katika position hiyo ya kuwa mke ni kwa ajili yake na sisi kwa kuwa tangu mwanzo tumelelewa hivyo tunajisikia tu ni wajibu wetu. Tumeshaathiriwa na malezi toka enzi hizo za mababu zetu.

Sikatai kuwa kuna wanaume walio tofauti DC infact nawaonea wivu wanawake walioolewa na waume waelewa. But kesi ya huyu hadi kufikia kutoa suggestions hizi ni wazi kuwa si mwelewa na inawezekana kuwa kuna a lot of factors ambazo zinachangia yeye kuwa hivyo.............DC naomba nikuswalike swali

......Would you understand kama wifi anakuwa buzy kiasi hicho wakati huoni matunda ya ubuzy wake? kwa sababu ninaamini kabisa kama mwanaume anaona matunda ya mkewe kwenye maendeleo ya familia yake ni wazi atakuwa mwelewa ni matter how ignorant he is......

Nina rafiki yangu mdada kutwa kucha ni safari yaani akipumzika sana Dar ni wiki moja but muda wote yeye na mabasi/ndege but mumewe i.e. shemeji yangu anakiri kabisa kuwa kama si mkewe wasingekuwa walipo sasa and he appreciate

YET
My very own auntie. ni mwalimu hapa hapa Dar, anafanya kazi, yuko kwenye kamati za kusahihisha mitihani, anasimamia chaguzi mbali mbali e.t.c yuko buzy kupita nyuki mwenyewe kiasi kwamba hata kitanda chake na mumewe anafanya kutandikiwa na housegirl yaani yeye hajui hata ana pear ngapi za mashuka, kijitaulo kile cha siri anafuliwa na mtoto wa kazi maana mama anakurupuka asubuhi kuwahi kazini akirudi ana makaratasi anajifungia study room kazi yake kuuliza watoto wamekula? wameoga? wamelala?....baba umemwekea maji ya kuoga? chakula? e.t.c lakini kilaaa kitu ni baba anagharamia mpaka nauli yake mama ya kwenda kufuatilia madeni ya upatu.

Sasa mmama wa hivi jamani hawi mzigo??

Hapo ndio anatengeneza tatizo ambalo baadae anaweza kuja kulijutia kutokana na kutotimiza vizuri majukumu yake
 
kwa kweli ndoa hazina formula kabisa, kwangu mie kitu cha mkaka (h/boy) kuingia room kwangu kwa kweli hapana, shughuli zangu za room kwangu na room kwa binti zangu kunanihusu mie, watoto wangu wakiwa likizo wananihusu mie, nikizidiwa watamhusu mr, mkaka ana kazi zake na mara moja moja ananisaidia pia zangu kama imetokea uchovu wa kupitiliza, lakini sio jukumu lake kuwa kama kila kitu kwenye nyumba yangu....wamama kwa hili tujirekebishe, tunashirikishe wenzetu(waume) kwenye kusadiana shughuli za ndani....tujirekebishe.
 
YET
My very own auntie. ni mwalimu hapa hapa Dar, anafanya kazi, yuko kwenye kamati za kusahihisha mitihani, anasimamia chaguzi mbali mbali e.t.c yuko buzy kupita nyuki mwenyewe kiasi kwamba hata kitanda chake na mumewe anafanya kutandikiwa na housegirl yaani yeye hajui hata ana pear ngapi za mashuka, kijitaulo kile cha siri anafuliwa na mtoto wa kazi maana mama anakurupuka asubuhi kuwahi kazini akirudi ana makaratasi anajifungia study room kazi yake kuuliza watoto wamekula? wameoga? wamelala?....baba umemwekea maji ya kuoga? chakula? e.t.c lakini kilaaa kitu ni baba anagharamia mpaka nauli yake mama ya kwenda kufuatilia madeni ya upatu.

Sasa mmama wa hivi jamani hawi mzigo??

I have added your reputation... you have nailed it

Hapo ndio tatizo lilipo... ni wakati gani mwanadoa (mwenza bila kujali jinsia) anapogeuka kuwa mzigo ndani ya ndoa??
 
Kweli maana siku hizi mtu kukuvumilia kiasi hicho na yenyewe yahitaji sana moyo because that is too much
 
kwa kweli ndoa hazina formula kabisa, kwangu mie kitu cha mkaka (h/boy) kuingia room kwangu kwa kweli hapana, shughuli zangu za room kwangu na room kwa binti zangu kunanihusu mie, watoto wangu wakiwa likizo wananihusu mie, nikizidiwa watamhusu mr, mkaka ana kazi zake na mara moja moja ananisaidia pia zangu kama imetokea uchovu wa kupitiliza, lakini sio jukumu lake kuwa kama kila kitu kwenye nyumba yangu....wamama kwa hili tujirekebishe, tunashirikishe wenzetu(waume) kwenye kusadiana shughuli za ndani....tujirekebishe.

The Following User Says Thank You to Rose1980 For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
MJ1, ni kweli mwanamke unaweza kujitahidi lakini maisha ya ndoa siyo rahis...Very complicated.

Pia wanaume tunatakiwa kubadilika sana. Inabidi tuanze kuangalia wenzetu wanaishije iwapo wote mume na mke wanafanya kazi za ofisi na wote waleta kipato kwenye familia. Tabia ya kumwona mke kama punda kwamba mkirudi kazini akimbilie jikoni na kazi nyingine za ndani ni mbaya sana. Sidhani kama mama huyo ana makaso kiasi cha kudhalilishwa na huo upuuzi wa house girl. Labda kama ni mtu wa viwanja na larger. I seriously don't support this and I can't treat my wife like that or compare her to a maid.

Kifupi watto wana house gal ndio mama yao....wanampenda kuliko hata mama... na baba wa familia aliisoma hali hiyo ndo maana zikamtoka hoja hizo!!
 
mmh mi sjui jaman........SIJAOLEWA JAMAN mie msinitwishe majukumu hayo mazito
bt ova ma ded bod mume wangu hawez kunisananisha na med
dah
god help me to fulfil ma duties as mumy n wise wife ili kikombe kiniepuke!!!!
hpfully ayatakuja kuntokea km aya.....bt stl STAKUWA MTUMWA KWA MUMEWANGU
NTAKUWA RAFIKI AKE SO SZAN KM ATANPELEKSHA KM MIMI VILE NI PESRSONAL MED WAKE LASIVYO...........!!mungu nsaidie

na iwe kama ulivyoomba Rose pia usichoke kusugua goti kuomba mwenzi uliyepangiwa.
 
In Red- You can say that again kaka yangu marriage life is very complicated I admit.

I agree to you too kuwa wanaume wanatakiwa kubadilika but nafikiri si kitu rahisi kama tunavyofikiri. Mfumo mzima wa malezi unapelekea kumweka mwanaume katika position hiyo ya kuwa mke ni kwa ajili yake na sisi kwa kuwa tangu mwanzo tumelelewa hivyo tunajisikia tu ni wajibu wetu. Tumeshaathiriwa na malezi toka enzi hizo za mababu zetu.

Sikatai kuwa kuna wanaume walio tofauti DC infact nawaonea wivu wanawake walioolewa na waume waelewa. But kesi ya huyu hadi kufikia kutoa suggestions hizi ni wazi kuwa si mwelewa na inawezekana kuwa kuna a lot of factors ambazo zinachangia yeye kuwa hivyo.............DC naomba nikuswalike swali

......Would you understand kama wifi anakuwa buzy kiasi hicho wakati huoni matunda ya ubuzy wake? kwa sababu ninaamini kabisa kama mwanaume anaona matunda ya mkewe kwenye maendeleo ya familia yake ni wazi atakuwa mwelewa ni matter how ignorant he is......

Nina rafiki yangu mdada kutwa kucha ni safari yaani akipumzika sana Dar ni wiki moja but muda wote yeye na mabasi/ndege but mumewe i.e. shemeji yangu anakiri kabisa kuwa kama si mkewe wasingekuwa walipo sasa and he appreciate

YET
My very own auntie. ni mwalimu hapa hapa Dar, anafanya kazi, yuko kwenye kamati za kusahihisha mitihani, anasimamia chaguzi mbali mbali e.t.c yuko buzy kupita nyuki mwenyewe kiasi kwamba hata kitanda chake na mumewe anafanya kutandikiwa na housegirl yaani yeye hajui hata ana pear ngapi za mashuka, kijitaulo kile cha siri anafuliwa na mtoto wa kazi maana mama anakurupuka asubuhi kuwahi kazini akirudi ana makaratasi anajifungia study room kazi yake kuuliza watoto wamekula? wameoga? wamelala?....baba umemwekea maji ya kuoga? chakula? e.t.c lakini kilaaa kitu ni baba anagharamia mpaka nauli yake mama ya kwenda kufuatilia madeni ya upatu.

Sasa mmama wa hivi jamani hawi mzigo??

Noted MJ1...!!halafu huyo ndo atengeeneza binti yake atakyekuja kuolewa... kwa lyfstyle hiyo..tutafika?
 
Kifupi watto wana house gal ndio mama yao....wanampenda kuliko hata mama... na baba wa familia aliisoma hali hiyo ndo maana zikamtoka hoja hizo!!

mmm, mie na swali huyo mume alishakaa na mkewake na kumkanya anachokifanya?? au alikuwa anafurahia tabia ya mkewake na yeye kumalizana na beki tatu???
 
kwa kweli ndoa hazina formula kabisa, kwangu mie kitu cha mkaka (h/boy) kuingia room kwangu kwa kweli hapana, shughuli zangu za room kwangu na room kwa binti zangu kunanihusu mie, watoto wangu wakiwa likizo wananihusu mie, nikizidiwa watamhusu mr, mkaka ana kazi zake na mara moja moja ananisaidia pia zangu kama imetokea uchovu wa kupitiliza, lakini sio jukumu lake kuwa kama kila kitu kwenye nyumba yangu....wamama kwa hili tujirekebishe, tunashirikishe wenzetu(waume) kwenye kusadiana shughuli za ndani....tujirekebishe.

Nyamayao, unaongelea hao wanaume wa Kiafrica hapo au???
 
Jamani hamjambo? Hapa mnajadili nini?

Samahani nimewamisi sana. Mkoloni wangu bado ni tineja, ananitumia atakavyo.

Mkiwaona mjukuu wangu MJ1 na mwalimu wangu Gaijin na wanachama wote hai wa ISC na mfadhili mkuu Smiles....Tafadhali waambieni nimewamisi sana. Naendelea na mgomo mpaka CHAT ROOM irudishwe kwa ajili ya kufanya logistics za infii.
 
Bold...nafikiria kutangaza nia :smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom