Mliokosa updates za diamond..heaven on desert nimerudi

Umeajiriwa unakatwa pension kwajil ya akiba ya badae,nadhan umekosea sema napata posho toka kwa diamond.
 
ooooopx xry Yan mm daily uku nikionaga heaven on desert najuaga demu kwa jinsi unamfag diamond kumbe he xry again
 
ha ha ha watanganyika bana...mwenzio niko kazini na hujui ni kiasi gani nalipwa na pengine wewe kukipata kwa mwezi ni ndoto..so kaa kimya

Diamond anakulipa sh ngapi? na anakugonga kama anavomgongaga Halima Kimwana ?? mtoto firauni yule dah
 
[.....SHAROBAROOO LIKE DIAMOND]AAH MI NAPITA BANA MJUKUu WA BIBI
 
Diamond anakulipa sh ngapi? na anakugonga kama anavomgongaga Halima Kimwana ?? mtoto firauni yule dah

halima kimwana mwanmke wake,kuwadi wake siku akikosa mwanamke wa kumpa damondo halima anaingia mzigoni.
Ila anamsaidia halima kulipa kodi,chakula
 
Jamaa we ni mngese sana, acha utumwa wa kifikra, fanya kaz zako bnafc za kupata mkwanja dogo na c kuhangaika kuwa secretary wa huyo diamond cz ye ashatengeneza maisha yke so na ww hangaikia ya kwako. Acha utumwa wa kifikra utalemaa mdogo wangu halaf wanaume watakupakata cku za uson kama utaendelea hivi. Umesikitisha sana

what if kama ni secretary wake ambae anapokea chake cha kutosha mwisho wa mwezi?aache au aendelee na kazi?tuache kukurupuka na kutoa lugha zisizo na staha kwa mambo ambayo hatuna data za kutosha.
 
Sasa kwani u'secretary' wa mtu fulani maarufu si kazi? nani kakuambia uSecretary ni utumwa!? wengine mama zetu walikuwa maSecretary na wametusomesha tuna degree kadhaa now na hiyo hiyo hela ya uSecretary! Ili mradi anakulipa stahiki yako hiyo ni ajira! Hata maCelebrity wa kimataifa wameajiri watu kuwasaidia majukumu yao mbali mbali, kama hili la kuto taarifa kwa public. sijui unamchukia nani kati ya 'Diamond' au huyu jamaa ambaye ni Publicist wake..but heey man, stop hating!

tatizo wengi humu wanaongozwa na ushabiki + chuki binafsi na sio professionalism,ata kama ni mimi ningekua huyo mdau ningekubali tu kuwa msemaji wa jamaa bora azingatie makubaliano yetu ktk mkataba na ayatimize kikamilifu,hayo mengine ni majungu na chuki binafsi dhidi ya diamond.
 
I think Diamond is doing fine currently but ajitahidi sana asiwe mtu wa kuongea ongea ovyo na vyombo vya habari
 
Jamaa we ni mngese sana, acha utumwa wa kifikra, fanya kaz zako bnafc za kupata mkwanja dogo na c kuhangaika kuwa secretary wa huyo diamond cz ye ashatengeneza maisha yke so na ww hangaikia ya kwako. Acha utumwa wa kifikra utalemaa mdogo wangu halaf wanaume watakupakata cku za uson kama utaendelea hivi. Umesikitisha sana

huyu mbona anapakatwa toka zaman huoni poz zake
 
Na Hamish ni nani? Manake Photographer na Blogger wa Diamond naemjua ni yule ....sasa sielewii
 
Jipe moyo kijana unafikiri kila mtu kaajiriwa nini? Mi nina counts hela daily sio wewe unasubiria kila trh 31.
Back in the days tokea nitoke kwenye ajira.
kumbe hata na wewe ulianza kwa kuajiriwa so muache kijana nae aajiriwe,what ua suppose to do nikumshauiri nae sikumoja ajiajiri awe kama wewe.
 
Baada ya kuwa kimya kwa mda mlefu pasipo kuwapa updates kuhusu Diamond platnumz
now nimerudi ...ntaendelea kuwapa updates zote za uhakika kuhusu diamond
kumbuka habari yoyote kuhusu diamond ambayo itakuwa haijathibitishwa na mimi jua ni batili
..BY Heaven on desert
WASAFI CLASSIC ENTERTAINMENT
weka mambo wachana na haters,ila napenda kujua wale dancers wa diomomnd majina yao
 
Back
Top Bottom