mlioko kwenye ndoa hebu munisaidia

Kwanza wewe kinachokuingiza ni nini?

Faida usisubirie za wenzio, ndoa zao sio yako. Kuwa na malengo pia matarajio binafsi usije ukabaki kulia "mbona fulani alisema, mbona fulani alisema!!"
 
kama hujajua utapata faida gani katika ndoa bado wakati wako subiri tu muda utafika nakuona mahitaji fulani hayaendi unahitaji ndoa ili yakamilike hakika hizo ndizo zitakazokuwa faida za ndoa yako
 
Kwanza wewe kinachokuingiza ni nini?

Faida usisubirie za wenzio, ndoa zao sio yako. Kuwa na malengo pia matarajio binafsi usije ukabaki kulia "mbona fulani alisema, mbona fulani alisema!!"
nimelazimishwa na ndugu zangu lazima mwaka huu nioe nisije nikazeeka bila mtoto
 
-At least u wont have to move around with room-keys on hands or in pockets.
-U will have someone to cook and wash yr clothes, including u/pants.
-U will have a reason to go home earlier!
-U will have somebody to shout to you, just like yr mother was!

Isnt that enough?
 
Faida za kuoa ni nyingi sana tena sanaaa....cha kwanza unapata akili na akili yako inakuwa kubwa zaidi...we hujioni kama bado akili yako haijakuwa vizuri, ukisha owa basi akili yako itakuwa kubwa na huta uliza swali kama hili.
 
1 kwanza kula raha
2 chukue mademu mpaka utosheke
3 tafuta hela
4 maisha ya ndoa magumu
 
kama hujajua utapata faida gani katika ndoa bado wakati wako subiri tu muda utafika nakuona mahitaji fulani hayaendi unahitaji ndoa ili yakamilike hakika hizo ndizo zitakazokuwa faida za ndoa yako
unajua bwana kin'gamuzi tatizo siyo muda haujafika , nataka nijue umuhimu na faida zakewake kwa wale wenye uzoefu ili niwe huru
 
utayari ktk ndoa hautokani na jinsi ndugu wanavyotaka ama marafiki wanaovyokushauri.jambo jema ulifanye mwenyewe kwa akili yako mwenyewe,kwa moyo wako mwenyewe na kwa utayari wako wa kiakili,kimaisha na kimahusiano.lkn ndugu yangu kwa jinsi ulivyojieleza na kuomba ushauri unahitaji muda kujitambua kama mtoto wa kiume vinginevyo utatia aibu.faida za ndoa ni nini?kwani ndoa ni biashara?subiri kidogo kaka muda ukifika hutouliza faida wala hasara bali utatueleza nia yako njema nasi tutakupa nasaha zetu.
 
-At least u wont have to move around with room-keys on hands or in pockets.
-U will have someone to cook and wash yr clothes, including u/pants.
-U will have a reason to go home earlier!
-U will have somebody to shout to you, just like yr mother was!

A man's wife has more power over him than the state has.
 
Well,
Kuna mtu aliwahi kuulizwa
"what is the cause of problems in marriage?"
akajibu
"mariage itself".

Read between the lines.
 
tatizo wanataka watoto

"Wanataka" ????!
Wao ndio watakaoishi na mke, watakaozaa na watakaolea? Haya mambo sio ya kufanya kwaajili ya watu wengine.Utaishia kuchukia mke na watoto bure mambo yakiwa magumu kwenye ndoa na malezi, kwasababu hukuwataka wewe. Fanya maamuzi binafsi acha usiwe kichwa panzi.
 
Wasikukatishe tamaa kijana we oa tu wenzio tuliooa tunakula na kusaza any time ukitaka wala tena kwa kjiachia sio kuibaiba kama ufanyavyo sasa.
 
nimelazimishwa na ndugu zangu lazima mwaka huu nioe nisije nikazeeka bila mtoto
Kwani wewe unataka ndoa au mtoto?Na kama unataka mtoto,ndoa sio mtoto ndoa ni mke na mume,hapo kuna mawili kupata mtoto au kukosa,sasa kama nia yako ni mtoto unaweza kumpata hata bila ya ndoa,kazi kwako!!!
 
Back
Top Bottom