Mliochaguliwa SAUT Mwanza,here‘s the guide!!

Keagan

Member
Aug 6, 2012
40
11
Hongereni kwa kuchaguliwa SAUT Malimbe Campus! Karibuni ‘tulijenge jiji la Mungu‘ huo ndio motto wa saut. Pia huku wanasema ‘our culture should be no fee no school‘
1.chuo kiko malimbe,Nyegezi ni pembezoni mwa jiji lakini ni daladala moja tu from town na nauli ni sh 300. Unapanda basi la Luchelele,malimbe au mzunguko na unashuka chuo.Lakini ni karibu na stand ya mabasi ya mikoani iitwayo Nyegezi.ukitokea hapo nyegezi unapanda daladala hadi nyegezi kona then unachukua nyingine mpk malimbe..unaweza pata taxi pia.

2. Ukitokea Dar utafika Mwanza kuanzia saa 3 usiku so ni vema ujiandae kama una ndugu wakupokee ama uwe na hela ya kutosha kulala lodge.

3. Ukiripoti Utaanzia eneo linaitwa ‘main‘. Hapo ndio administrative offices nyingi zipo nas registration ya new students hufanyika. Uje tu na pay in slip za ada uliyolipia bank..kumbuka mkataba wako na bodi ya mikopo saut hawaujali sana hasa kwa kuanzia. Mkopo ukija watakurefund ama kusogeza pesa ulolipia to next academic year!
4. Ukibahatika utapangiwa in campus Hostel. Kiukweli in campus hostel ziko chache sana majority ya watu wanakaa off campus. Hizi ziko nyingi na gharama inarange kuanzia laki e na nusu hadi milion 1 na kitu kulingana na uwezo na mahitaji(nyingine ni luxurious kama tourists lodge)

5. Masomo mengi hutake place malimbe,ni mbele kidogo ya hapo main.Japo kuna baadhi ya kozi kama accounts watu wanasomea huko main.Kuna ATM za CRDB na NBC ziko malimbe,na mini branch ya crdb huko malimbe. NMB ni mpk town,na hata NBC japo ipo siyo reliable sana.

5.kingine ni kuwa makini na masomo,sapu zipo ndugu na ukimwi umejaa tele.Kadhalika maumivu ya mioyo.Mabinti wa Saut wanasifika kwa kuwa na mapedeshee town so ukipata mmoja ujue sooner or later we ni wa kuzugia tu.
6. Advantage mojawapo ni kuwa chuo hiki hutoa usafiri kwa wanafunzi wanaofariki chuoni mpk eneo la maziko so usjali ukifa utasafirishwa salama.
7.pia hii ni rumi,ni dola kamili.Huku hakuna migomo wala nn na hawa jamaa wana namna wanaendesha mambo yao tofauti kabisa.you need to be here to know that.
 
vp ada lazima ulipe yote au niaje

Kuna administrative fee,hii unalipa yote.(inajumuisha vitu kama exam fee,health fee etc)
Tuition fee-hii kama ni private unalipa walau nusu kwa semester ya kwanza na nusu unamalizia.
Ila loan beneficiaries nimeona mwaka huu wanatakiwa walipe administrative fee yote na tuition fee at least asilimia 40 kebla ya kuanza masomo.
 
6.Advantage mojawapo ni kuwa chuo hiki hutoa usafiri kwa wanafunzi wanaofariki chuoni mpk eneo la maziko so usjali ukifa utasafirishwa salama.
7.pia hii ni rumi,ni dola kamili.Huku hakuna migomo wala nn na hawa jamaa wana namna wanaendesha mambo yao tofauti kabisa.you need to be here to know that.
Mkuu happo namba sita, umefanya nicheke sana,hapo namba saba kwa kweli hao jamaa hawana utani ni wababe sijawhi ona,Taarifa yako mkuu imetulia sana kwa mgeni anapata picha kamili wapi pa kuanzia,ubarikiwe sana.
 
6. Advantage
mojawapo ni kuwa
chuo hiki hutoa usafiri
kwa wanafunzi
wanaofariki chuoni
mpk eneo la maziko
so usjali ukifa
utasafirishwa salama.

Ha ha ha ha ha ha haaaaaah.
 
Hongereni kwa kuchaguliwa SAUT Malimbe Campus! Karibuni ‘tulijenge jiji la Mungu‘ huo ndio motto wa saut. Pia huku wanasema ‘our culture should be no fee no school‘
1.chuo kiko malimbe,Nyegezi ni pembezoni mwa jiji lakini ni daladala moja tu from town na nauli ni sh 300. Unapanda basi la Luchelele,malimbe au mzunguko na unashuka chuo.Lakini ni karibu na stand ya mabasi ya mikoani iitwayo Nyegezi.ukitokea hapo nyegezi unapanda daladala hadi nyegezi kona then unachukua nyingine mpk malimbe..unaweza pata taxi pia.

2. Ukitokea Dar utafika Mwanza kuanzia saa 3 usiku so ni vema ujiandae kama una ndugu wakupokee ama uwe na hela ya kutosha kulala lodge.

3. Ukiripoti Utaanzia eneo linaitwa ‘main‘. Hapo ndio administrative offices nyingi zipo nas registration ya new students hufanyika. Uje tu na pay in slip za ada uliyolipia bank..kumbuka mkataba wako na bodi ya mikopo saut hawaujali sana hasa kwa kuanzia. Mkopo ukija watakurefund ama kusogeza pesa ulolipia to next academic year!
4. Ukibahatika utapangiwa in campus Hostel. Kiukweli in campus hostel ziko chache sana majority ya watu wanakaa off campus. Hizi ziko nyingi na gharama inarange kuanzia laki e na nusu hadi milion 1 na kitu kulingana na uwezo na mahitaji(nyingine ni luxurious kama tourists lodge)

5. Masomo mengi hutake place malimbe,ni mbele kidogo ya hapo main.Japo kuna baadhi ya kozi kama accounts watu wanasomea huko main.Kuna ATM za CRDB na NBC ziko malimbe,na mini branch ya crdb huko malimbe. NMB ni mpk town,na hata NBC japo ipo siyo reliable sana.

5.kingine ni kuwa makini na masomo,sapu zipo ndugu na ukimwi umejaa tele.Kadhalika maumivu ya mioyo.Mabinti wa Saut wanasifika kwa kuwa na mapedeshee town so ukipata mmoja ujue sooner or later we ni wa kuzugia tu.
6. Advantage mojawapo ni kuwa chuo hiki hutoa usafiri kwa wanafunzi wanaofariki chuoni mpk eneo la maziko so usjali ukifa utasafirishwa salama.
7.pia hii ni rumi,ni dola kamili.Huku hakuna migomo wala nn na hawa jamaa wana namna wanaendesha mambo yao tofauti kabisa.you need to be here to know that.

mbona umewatisha sn ww? yaan kila nachosoma naona unawatisha tuu hapa, mbona wengine wamegraduate bila matatizo yote haya unayoyasema?
 
Msaada mkuu! TCU wamenichagua SAUT BUKOBA na bukoba hawajatoa listi ya selected applicants na nimepiga sim Saut bukoba wamesema wanatumia list ya Main compus mwanza nikiangalia katika list main compus sijajiona sielewi cha kufanya
 
kabla ya yote ingia http://
www.saut.ac.tz
kaka SAUT joining instruction
imeeleza kila kitu...
kuna CoZ ambazo wao mpaka
ureport ndio wanakupangia Mkoa...
coz hizo ni
B.aDminstration...Law.....educ atiob
na sociogy tuuu ...
unaweza tupiwa Main mwanza
Tabora songea na Bukoba na hata
Lindi...
au Piga SAUT namba zipo kwenye
hiyo link nilomiyokutumia!!!!!!
 
ahsante kwa info mkuu lkn vp kwa kozi za engineering practical zpo za kutosha? vp walimu ni waukweli au wababaishaji?
 
..na je kama umeomba mkopo bodi na majina hayajatoka inamana unatakiwa ulipe ada hyo uliandkwa hapo ambayo ni nusu yake.,..?

2. hostel za ndan znakost kias gan

3. na je wote tulopangwa mwanza tunafungua tareh 16 mwez wa 9 au mana nimefungua web yao cjaona tulioselectiwa na tcu majina ye2

4. mavazi yanakuaje kwa sauti..?

5. joing instruction 2nazpata wap?...
 
Fungua www.saut.ac.tz
 
kabla ya yote ingia http://
www.saut.ac.tz
kaka SAUT joining instruction
imeeleza kila kitu...
kuna CoZ ambazo wao mpaka
ureport ndio wanakupangia Mkoa...
coz hizo ni
B.aDminstration...Law.....educ atiob
na sociogy tuuu ...
unaweza tupiwa Main mwanza
Tabora songea na Bukoba na hata
Lindi...
au Piga SAUT namba zipo kwenye
hiyo link nilomiyokutumia!!!!!!

mkuu asante sana kwa msaada wako na kwa hiyo sisi ambao bado hatupo katika list ya SAUT lakini tumepewa na TCU inabidi wote kureport MWANZA MAIN COMPUS AU KUREPORT BUKOBA CENTRE YENYEWE?
 
Utakuwaje tcu afu kwny list ya saut usiwepo? Piga simu uombe kuongea na mzee rugaimukamu ndio anahusika na admission saut,then akwambie kama umekuwa admitted saut,na kama ni main campus or elsewhere
 
Nashukuru sana muheshiwa na nilijaribu kwawasiliana na pale bukoba centre hamna majibu. MKUU NAOMBA NISAIDIE NUMBER YA SIM YA HUYO MZEE RUGAIMUKAMU ILI NIMPIGIE NIPATE UFUMBUZI WA TATIZO NAOMBA SANA MSAADA WAKO MKUU
 
madogo hostel ni tatizo sugu kwa saut, ukifika uwe na kama laki 5+ hivi ili kupata chumba sehemu nzuri na karibu na shule (ngaza, nyegezi). Au ukiweza nenda sasa hivi mwanza kutafuta chumba c'se chuo kikishafunguliwa haijalishi unafedha kiasi gani, chumba hakuna mtaani.
 
Back
Top Bottom