Mliochaguliwa Ardhi - The unique university, tukutane hapa

Mkuu msaada course ya bachelor of science in urban and regional planning
ni degree ambayo ni jamii ya architecture lakini wao wakibobea Zaidi kwenye mipango miji, kuandaa master plan za miji mbalimbali. ramani hizi husaidia sana watu wanapotaka kujenga wajenge kinachotakia, sio eneo ni la hifadhi wewe unajenga kiwanda, pengine eneo ni la soko wewe wajnga nyumba. kuhusu arhitecture utafufndshwa basics kama kudesign nyumba. utatumia muda mwingi studio kuchora sana ikibidi hata kukesha ili kumaliza kazi za walimu. Ni moja ya degree programmes chache wanafanya mafunzo kwa vitendo mara tatu kwa mwaka. Graduates hawa wanajiriwa Zaidi wizara ya ardhi na kidogo wizara ya ujenzi wakitoa building permits ambayo ni ruhusa ya kujenga, wakiandaa masters plan ya miji hasa mikoa mipya, swala zima la bomoabomoa
 
thanks
 
Waambie hao...yaan kwa sasa course zote za ardhi...cbe...TIA....IFM....Mipango dodoma hazina ajira ..kama unasoma hapo acha chuo kafanye mishe mingne
Bro umedisco nini mbona unaongea kwa uchungu hivyo? unaropoka ropoka hovyo tu
 
Mkimaliza hakuna AJIRA mtatembea Na Vyeti mikoa yote

bora umewaambia ukweli, wakati nafika ardhi BE kila mtu anasifia kozi nzurii somaa na mbwembwe kibao nikapata BICHWAA, liza baada ya kumaliza shule vyeti hata 500 haikup kwa mwezi naumepanga jiji hili
 
Back
Top Bottom