Mlioagiza magari mkailipa tbs mkachukue hela zenummeibiwa :mkurugenzi akiri akuna ofisi nje ya nchi

Tanzania kwa kweli ni nchi ya ajabu, ni nchi ya kitu kidogo


haya yote ambayo tunayajua amini haifiki hata 0.1% ya madudu ya kuifisidi nchi yetu.


inafika pahala wananchi tuamue kupambana nao hawa wahuni, na baadhi nashindwa kuelewa tatizo ni siasa, tatizo ni maadili au nn ?


maana wenye kutenda haya CHADEMA wana afuasi wao CCM na vyama vyengine pia wamo.


ukija kwenye dini ndio usiseme wamo wakristo tena wazuri sana wanaenda kanisani kila jumapili, wanamsifu bwana na kutoa sadaka na kufunga kweresmas ila matendo yao ajabu. pia wako waislam, tena safi sana wanaswali hamsa wa salawati, wanafunga na wanaenda makka lakini wanaitafuna nchi hii.


makabila pia sioni kama ni tatizo maana Jairo, Balali, huyu jamaa na EPA utaona makabila tofauti.



jamani tatizo letu ni lipi na nn kifanyike, ili kunusuu hii hali?

tatizo ni jamii iliyotulea hao unaowaona huku juu hawakuanzia huko ni jamii yote imeoza! Kupenda maisha ya juu bila kustruggle ndio tatizo kubwa la watz.
 
Back
Top Bottom