Mlio wahi kudate na wasichana wa facebook,naomben ushaur kwa hili.

usilaze we pga tu ila elewa yupo tofauti kimuonekano wa picha yake na alivyo real,.
 
Unauliza nini sasa? hapa swala ni kwenda kumdandia tu na kusepa maramoja. Ila jua atakuwa mbaya wa umbo ileile.
 
Raha ya uzinzi usishirikishe watu,wewe take risk,time will tell.Tegemea anaweza kuwa mzuri ukafaidi,pia anaweza kutega ukanawa kabla hujala UKALIWA.tunza siri.
 
Tatizo baadhi ya midemu ya fb mingine ni makahaba iko kikazi zaidi, hivyo angalia usijetoka na kahaba wa FB ukidhani umepata demu wakuondolea kutu kwenye Gobore
 
watch out na mapenzi ya mtandaon:yawn:

msimtishe bhana,kijana nenda kamgaragaze,hata mm nilishapiga wawili kwa style hyo niliwatoa hukohuko fb,tena alisafiri toka dar na kunifuata mpaka mkoan
 
Mbona mimi nawajua wanawake wengi tu face book wanaheshima zao...Achane uongo eti kila aliye kuwa kwenye face book malaya...Ujinga mtupu.

Mtoa mada sasa lazima uje kutangaza mbona wewe mshamba sana...nenda kale kimya kimya.
 
kwa hyo unanshaur nkamchape co?
 
Mi ni jana tu nimetoka safari niliifungia safari moja ya faisbuk. Ilikuwa tamu balaaaaa. Kiukweli mpira niliona ungenipunguzia radha tu....
 
Back
Top Bottom