Mlio soma Loleza,Meta, Sangu na lyunga

Iyunga tulienda kusoma na siyo kutongoza... mashindano ilikuwa ni kupata one au two na siyo girl friends[/COLOR]

uongo huo, mbona mlikuwa mnagombana na shule nyingine kisa wasichana wa Loleza?
 
uongo huo, mbona mlikuwa mnagombana na shule nyingine kisa wasichana wa Loleza?

Inaonekana unatujua sana wana Iyunga Technical... Basi yatosha usimwage mchele kwenye kuku wengi, ila siku hizi tumebadilika? Can we/I prove it?
 
Daaah tanga skuli na koogwe girls si mchezo, halafu eti tukataka kubadili mboga, tukaagiza wa maramba, aisee tuliletewa wakina mama na waume zao!
 
So wa miaka ya 2000 hawahusiki?
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.
 
Msalato usitusahu wavulana wa Mazengo UMISETA NA EASTER conference wk nzima full kusali mpaka usiku
Umenikumbusha enzi!

Kutokana na Mapenzi mazito kati ya WANAFUNZI wa shule hizi mbili palianzishwa kitu isiyo rasmi inaitwa MSA-ZENGO!...(hii ilikuwa kama taasisi ya mapenzi na usharobaro wa kizamani kati ya wanafunzi wa shule hizi...Siku ya Disco watu akili hazikamati, ni maandalizi kuanzia asubuhi hadi midamida!...Wanaume wanazunguka mtaa maarufu wa One-Way kutafuta pafyum za COBRA nakuogea sabuni ya Rexona!... ha ha haa!!
Du, kweli maisha safari ndefu!
 
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.

duh umekumbuka nini?
 
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.
chakula ya watu wa mjini hiyo, watoto hao wote hutolewa bikra na vijana na wafanyakazi wa mjini mbeya, sawa na jangwani ya dsm.
 
Jamani Sangu tuliwafunga Iyunga walitembeza kichapo sitasahau visa viliendelea wakimkuta mwanafunzi wa Sangu ni kichapo duuu Iyunga walikuwa wababe balaa
 
Mbona sisi wa Kafule, Inyala, Choimala, Ivumwe, Itende, Lutengano, Manow, Mbeya Day, Kipata na kwingine mnatutenga?
Mkuu nilisoma shule zote hizo. Nilikuwa nahama shule hata mara nne kwa mwaka. Hapa umeisahau kipoke. Tena umenikumbusha sana ulivyoitaja kafule kule kwa wandali nako nilisoma. Shule zote hizo nimezimaliza.
 
Back
Top Bottom