hebu mwaga visa vya wa :bange: wa Morogoro
<br /><font face="Comic Sans MS"><font size="4">Usisahau visa vya Box 2 na Tamsala Songea,enzi za bam bam Chaka Demus ikipigwa ili kuwa alert enzi hizo za 90's <br />
</font></font>
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.
Mwana wa Nsafwa, umesoma Mbeya sekondari, kwenu Soko Matola Moravian, i miss you katoto
Mimi nakumbuka 'cowdance ' la Ashira girls...hii Chakademus imenikumbusha mbali sana jamaniUsisahau visa vya Box 2 na Tamsala Songea,enzi za bam bam Chaka Demus ikipigwa ili kuwa alert enzi hizo za 90's
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.
Hehhehe kuvaa blue na njano kwa sanaaa
halafu wa kaka wa mzumbe mhh walikuwa wanatutembelea kwa saaanaaa