Mlio kwenye ndoa kuweni makini, ona huyu alichofanywa

Ndoa ni tabu sana siku hizi. Ila tu ukiona mwenzio anaweka password kwenye simu, anazima akifika home, anatembea nazno mfukoni kila mara haweki chini ukiwepo, anakukaripia ukitaka kuzishika, na ana line za simu over ten (kuna ambaye nimemsimamia ndoa alileta shauri kwangu mume wake ana line 20 za mitandao yote zaindi ya nne) ogopa kama nyoka wa koboko. Hapo jua mwenzi wako huyo ni malaya au pengine anafanya dubious businesses or activities ambazo usipokuwa makini utaumia baadaye.

Kwa staili hii ni bora muachane au kama mnataka kulea watoto basi mkae vyumba separate kabisa na masuala ya kondom achana nayo maana siku moja yaweza kupasuka au aamue kwa makusudi kuivua bila wewe kujua maana huyu ni kama muuaji kabisa. Sasa yule wa kesi za line zaidi ya 20 na hataki zishikwe kesi yake ni ngumu sana kwangu.

Sijui mnanishaurije maana maongezi mengine yatakuwa tarehe 24 hii june, sina jibu kwa kweli.
 
Mi bado siamini kuwa maambukizi makubwa ni kwa wanando; ni kwa kila mwasherati. Huyo alomkuta nae (housegirl) ni mwanandoa? Unajua wanawake wenye mimba wengi wanacheki afya zao na wengi wako kwenye ndoa ndio maana maambukizi kwa wanandoa yanakuwa overstated. Wanaume wengi wanachiti na singles. AU kwa kuwa wao ni single UKIMWI unawaogopa??? Hawa single hawana sababu za kupima ndio maana wanaonekana ni wachache wenye VVU; dada ambaye yuko single ukiona anapima jua kesha ugua;

Niliangalia documentary moja inasema wanaochukua dawa za ARV asilimia kubwa ni wanawake; ila si kuwa wanawake ndio wameathirika zaidi; ila wanaume wanaona aibu kupanga foleni ma hospitalini kuchukua dawa; leave alone kupima. Wengi wanatumia vipimo vya wake zao wakiwa wana attend clinic kujigamba kuwa wazima

Naunga mkono hoja
 
Kweli kabisa ina sikitisha sana mtu kukuletea virus ndani.
 
Umeongea vizuri sana. Siri siri za nini hata kwa mpenzi wako unataka kuficha siri. Kama mtu anajali sana privacy basi na akae peke yake.

Ndoa ni tabu sana siku hizi. Ila tu ukiona mwenzio anaweka password kwenye simu, anazima akifika home, anatembea nazno mfukoni kila mara haweki chini ukiwepo, anakukaripia ukitaka kuzishika, na ana line za simu over ten (kuna ambaye nimemsimamia ndoa alileta shauri kwangu mume wake ana line 20 za mitandao yote zaindi ya nne) ogopa kama nyoka wa koboko. Hapo jua mwenzi wako huyo ni malaya au pengine anafanya dubious businesses or activities ambazo usipokuwa makini utaumia baadaye. Kwa staili hii ni bora muachane au kama mnataka kulea watoto basi mkae vyumba separate kabisa na masuala ya kondom achana nayo maana siku moja yaweza kupasuka au aamue kwa makusudi kuivua bila wewe kujua maana huyu ni kama muuaji kabisa. Sasa yule wa kesi za line zaidi ya 20 na hataki zishikwe kesi yake ni ngumu sana kwangu. Sijui mnanishaurije maana maongezi mengine yatakuwa tarehe 24 hii june, sina jibu kwa kweli.
 
Kuna kipindi huawa naishia kUsema Namwachia Mola maana yeye ndiye alinileta duniani na anajua nitaondokaje.ina lake lihimidiwe

yote ni kumkabidhi Mungu na kuishi maisha ya kumtegemea Mungu,
Ombea ndoa yako kila ewe mwanandoa.
 
Nikitafakari kuhusu UKIMWI mpaka naogopa kuwa na mahusiano...Na kuishi bila ya mpenzi ni mateso makubwaa..Kazi ipo!!!
 
mnh usitoke,ukitoka basi tumia condom....:whistle:
Solution ni kutokutoka kabisa. Kusema tumia condom ni kujidanganya. Assume wewe ni mwanamke mmejifungia chumbani na jibaba la miraba minne umeliamuru livae condom limevaa halafu baada ya kupanda juu yako limeivua na limekuzidi nguvu, hapo utajiteteaje? Au limekulewesha halafu limekuparamia bila condom.

Control ya kutumia condom ipo zaidi kwa mwanaume kuliko mwanamke. mara nyingi mwanamke anapomkubalia mwanaume(ukiacha wale wanaouza) anakuwa amekubali vyovyote vile. Ndio maana mume wa mtu akisikia mkewe ametoka nje ya ndoa anachanganyikiwa zaidi kwa sababu anajua kuna uwezekano condom haijatumika unless jamaa aamue.

Na mara nyingi wanaume washenzi wanapenda kuiba wake za wanaume wapole ili wasitumie condom, hawajali kama wao ndio watawaambukiza wenzao ukimwi.
 
mamaa najuta kusoma hii thread!!!nahic kuichukia ndoa yangu.kama mambo yenyewe ndo haya eee mungu nilinde akiutafuta abaki nao mwenyewe iwe discondent couple.AMEEN
 
So sad jamani. Kwa kweli mi hapo kwenye red ndo moto wangu, yaani nikiwa na mpenzi ntamchunguza kupita maelezo! Anayetaka kujua jinsi ya kumchunguza mpenzi wake ani PM nimpe maujanja!

TAFADHARI MWAGA HAYO MAUJANJA HUONI TUTAANGAMIA? Nataman sana hata kungekuwepo vipimo simple kwa wanandoa kila mnapotaka kula tunda mnapimana fasta mnajuana then ndo mnakula. Ndoa inaficha mambo meng yani mtu ametoka kuzin siku hyo na anampa mkewe au mume, LO!
 
mamaa najuta kusoma hii thread!!!nahic kuichukia ndoa yangu.kama mambo yenyewe ndo haya eee mungu nilinde akiutafuta abaki nao mwenyewe iwe discondent couple.AMEEN

Yaani we acha tu maana inauma sana Ee Mungu utuepushie haya
 
Wanandoa msikubali kuaminiana kupita kiasi utakuja shangaa kukuta unachoamini ndicho sicho.Fuatilia kila kitu ujiridhishe.Kwa kuwa wanandoa mmeunganishwa kuwa kitu kimoja,basi isiwepo siri ya mmoja pekee,simu,mesage za mme/mke soma kama kawaida.Ukiona mmoja anakataa ujue hapo kuna kitu.Mimi yamenikuta lakini salama,wengine ni wajanja wanapimana VVU hata na maawara zao.
 
Ndoa ni tabu sana siku hizi. Ila tu ukiona mwenzio anaweka password kwenye simu, anazima akifika home, anatembea nazno mfukoni kila mara haweki chini ukiwepo, anakukaripia ukitaka kuzishika, na ana line za simu over ten (kuna ambaye nimemsimamia ndoa alileta shauri kwangu mume wake ana line 20 za mitandao yote zaindi ya nne) ogopa kama nyoka wa koboko. Hapo jua mwenzi wako huyo ni malaya au pengine anafanya dubious businesses or activities ambazo usipokuwa makini utaumia baadaye.

Kwa staili hii ni bora muachane au kama mnataka kulea watoto basi mkae vyumba separate kabisa na masuala ya kondom achana nayo maana siku moja yaweza kupasuka au aamue kwa makusudi kuivua bila wewe kujua maana huyu ni kama muuaji kabisa. Sasa yule wa kesi za line zaidi ya 20 na hataki zishikwe kesi yake ni ngumu sana kwangu.

Sijui mnanishaurije maana maongezi mengine yatakuwa tarehe 24 hii june, sina jibu kwa kweli.

Huwa nashangaa eti kuna siri gani zaidi ya uchi wako?Kama una uwezo wakusaula nguo zako mbele ya mumeo/mkeo kuna siri ipi kubwa ambayo mtu huyo huyo hastahili kuijua? Ukiona mpenzi wako anakuwa msiri katika mambo hayo aliyataja Maane ujeu ANAKUSALITI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE! Ogopa mpenzi ambaye ukimuuliza kuhusu kitu ambacho wewe unakitilia mashaka anakwambia'kwa nini huniamini' na kulalama kuwa muamini kwa kila kitu!
Kikubwa zaidi ndugu zangu tuwe waaminifu katika ndoa zetu na kwa Wakristo tukumbuke kuwa ni KUZINI NI DHAMBI
 
Kweli umenena mkuu kwa maana kweli kama huna hila hofu unakuwa nayo ya nini hadi uanze kuhamaki na simu. Mimi naweza hata kumwachia mtu yeyote simu wakati sipo na sina hofu kabisa, wangu wako free kupokea simu pengine nimeacha sitting room na niko say mbali na hapo maana nilishawaruhusu kabisa ili simu isikatike ni bora wapokee huku wakiwa wanatembea nayo kunifuata kama si mbali. Na hii ni kufanya hata wanao na wajukuu wakue na maisha yasiyo na kubabaisha. But then wake kwa waume let us play our roles as parents with credibility.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom