Mlinzi akutwa amenyongwa.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
*Ofisi ya Mwanasheria wa PPF na Mkurugenzi zavunjwa
*Nyaraka za siri zadaiwa kuibwa

ppf.jpg

Baadhi ya wafanyakazi wa jengo la PPF lililopo barabara ya Morogoro na Samora wakiwa nje ya jengo hilo leo asubuhi baada ya mmoja wa walinzi wa jengo hilo kunyongwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
 
Hii ni hatari, hebu mwenye taarifa zaidi atujuze yaliyojiri huko. Kuna nini cha siri hivyo kiasi kwamba yote haya yalifanyika? Na jengo kubwa kiasi hiki linakuwa na mlinzi mmoja tu usiku? Naamini pia hapo jirani kuwa walinzi, je hakukuwa na dalili zozote za mienendo isiyokuwa ya kawaida?
 
Back
Top Bottom