Mlimani tv- elimu kwanza!!

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Mimi ni mtazamaji mzuri sana wa taarifa za habari za mlimani tv (elimu kwanza) lakini nasikitishwa sana na tabia ya kituo hicho cha televisheni kutokuwa na utaratibu wa kuweka majina ya wazungumzaji. Naomba MLIMANI TV wawe na utaratibu wa kuweka majina ya wazungumzaji wakati wa taarifa zao za habari kama vinavyofanya vituo vingine vya television ili watazamaji wa taarifa ya habari tuwafahamu watu tunaowaona wakizungumza wakati wa habari. NAWASILISHA.
 
Halafu kuna yule msomaji wa habari za michezo anapenda sana kuigiza sauti ambayo haiwezi.
 
Nilikuwa mpenzi sana pia wa mlimani TV lakini wanapoteza dira sasa, nahisi wamefunikwa na magamba na coverage yao ni ndogo mno. Walikuwa na kipindi kizuri cha keki ya taifa, sasa mtangazaji Hamisi Damu Chafu amekivuruga kabisa. Mlimani TV ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!
 
hiyo TV ya mlimani frequency kwa njia ya dish ni zip hizo, tulio mikoani hatuwezi kuipata kwa dish?
 
Jamani Mkandara mkuu wetu kada wa CCM aliyetoa ka slogan ka ANGUKA MPYA, sasa unafikiri watafanyaje ndugu zetu. Wale ni wanafunzi wako mafunzoni ko bado wanaamliwa what they should do. Ila they are trying their level best, Ki TV chenyewe ni cha mazoezi tu so guys msijali sana
 
Back
Top Bottom