Mlimani city "kama nawatch movie"!

Hehe acheni wajidai jamani.Matatizo ya bongo yanahitaji delusions for relaxation.Fika sasa samaki samaki pale nje!!Hehe kuna mzungu mmarekani mmoja alimuuliza demu sincerly kabisa kua it seems the girl has travelled a lot coz he culdnt figure where she got her accent(sp) but it seemed to b a mixture of many. Demu hakujua kama kasifiwa au katusiwa. PADON!Nilikua na bia mdomoni ikamwagika. lol.
 
<br />
<br />
Tafsiri puliiiiz...!
 
Bloomingdales, Nordstrom, Nieman Marcus, Dillards, Saks Fifth Avenue, Lord &amp; Taylor, Brooks Brothers, Coach, Talbots, Starbucks, Aeropostale, Tory Burch, Filene's Basement, Stuart Weitzman, DKNY, Cartier, etc. etc.
<br />
<br />
KENTUCKY MKUU. Safi sana.
 
dah wanaopiga picha pande zile nawaona washamba jaman duh, eti wanapiga pic then wanaweka fb ili waonekane wajanja!
 
Hehe acheni wajidai jamani.Matatizo ya bongo yanahitaji delusions for relaxation.Fika sasa samaki samaki pale nje!!Hehe kuna mzungu mmarekani mmoja alimuuliza demu sincerly kabisa kua it seems the girl has travelled a lot coz he culdnt figure where she got her accent(sp) but it seemed to b a mixture of many. Demu hakujua kama kasifiwa au katusiwa. PADON!Nilikua na bia mdomoni ikamwagika. lol.

Lol, I can image a wanna be trying to impress a Yanqui, so pathetic
 
Mie huwa nikikumbuka ulaya naenda mlimani city kwa kuwa ndo sehemu inayofanana na ulaya kwa bongo!
 
Huu mjengo pembeni ya Sam Nujoma Road unambwembwe zake ukiingia mle ndani watu wanabehave kama vile si watz, kama vile hii nchi haina matatizo (umeme) watu wanaspeak kwa Swaga balaa..mara "you know" or "actually" nasema haya coz nilizungumza watu tofauti mle ndani nkasema may be huku siko tz nnayoijua,watu wako class ,happy ,watanashati ,health ! mazingira hayo yakapelekea nione kama Nawatch aina fulani ya movie!

asa kisa hatuna umemendo tusiongee kienglish jamani?tukishindwa mnatucheka tukijaribu pia lawama lipi jema kwenu nyie?
 
Huu mjengo pembeni ya Sam Nujoma Road unambwembwe zake ukiingia mle ndani watu wanabehave kama vile si watz, kama vile hii nchi haina matatizo (umeme) watu wanaspeak kwa Swaga balaa..mara "you know" or "actually" nasema haya coz nilizungumza watu tofauti mle ndani nkasema may be huku siko tz nnayoijua,watu wako class ,happy ,watanashati ,health ! mazingira hayo yakapelekea nione kama Nawatch aina fulani ya movie!
Raha jipe mwenyewe!!
 
...sio mlimani city tu, hata kwenye hii mada naona wazee wa swaga nao wamo.......wameanza kutaja ma-place makubwa ya nje........
 
Huu mjengo pembeni ya Sam Nujoma Road unambwembwe zake ukiingia mle ndani watu wanabehave kama vile si watz, kama vile hii nchi haina matatizo (umeme) watu wanaspeak kwa Swaga balaa..mara "you know" or "actually" nasema haya coz nilizungumza watu tofauti mle ndani nkasema may be huku siko tz nnayoijua,watu wako class ,happy ,watanashati ,health ! mazingira hayo yakapelekea nione kama Nawatch aina fulani ya movie!
nasikia wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm main cumpus eti ile ndo sehem yao ya kuuzia sura.wanaingia/wanatoka full kuranda randa.lol
 
Sijui itakuwaje walmart ikishushwa bongo!
Yaani nilivyo na hamu Walmart ishushwe bongo!! Maana I will do some decnt shopping hasa vitu vinavyoweza kushushwa bei hata unapata vitu vvisivyo feki walau i would be happy with a walmart. But if they can throw in Kohls, JCpenny, Macys, payless and the normal stores kwa masikini kama mimi kwa kweli nitafurahi.
 
Bloomingdales, Nordstrom, Nieman Marcus, Dillards, Saks Fifth Avenue, Lord &amp; Taylor, Brooks Brothers, Coach, Talbots, Starbucks, Aeropostale, Tory Burch, Filene's Basement, Stuart Weitzman, DKNY, Cartier, etc. etc.
<
Nyani, you are pulling my heartstrings!!!!
 
Ohh yeah nyie endeleeni kunyuka mitumba tu. Pamba za akina Tom Ford, Lanvin, Gianvito Rossi, Barton Perreira, Ann Demeulemeester (unaweza hata kulitamka hili jina wewe? - teh teh teh)....tuacheni sisi mashine kubwa.
nyani ngabu it seems unai2mia google effectively.i have no doubt kwamba kabla huja2pia vtu vyako ktk hii thread ulikuwa busy na google kusearch vtu vya ku2tisha navyo ili nawe uonekane umo.nimeipenda sana hii.lol
 
Mtu kujua hizo labels si lazima awe nazo yeye mwenyewe. Kwa mtu anayeishi kiwanja kama Nyani Ngabu vyote hivyo ni vitu vya kawaida sana. Ukienda kwenye malls lazima tu utaviona. Sasa unless wewe kichwa chako kiwe kibovu kupitiliza la sivyo si jambo la kushangaza kukumbuka majina yake. Mbele ni mambo ya kawaida sana hayo. Sasa kwa wengine mnaona ajabu kwa sababu hamna exposure ya vitu kama hivyo. Mkiona mtu kavitamka basi mnakimbilia kusema kagoogle.
 
Mtu kujua hizo labels si lazima awe nazo yeye mwenyewe. Kwa mtu anayeishi kiwanja kama Nyani Ngabu vyote hivyo ni vitu vya kawaida sana. Ukienda kwenye malls lazima tu utaviona. Sasa unless wewe kichwa chako kiwe kibovu kupitiliza la sivyo si jambo la kushangaza kukumbuka majina yake. Mbele ni mambo ya kawaida sana hayo. Sasa kwa wengine mnaona ajabu kwa sababu hamna exposure ya vitu kama hivyo. Mkiona mtu kavitaka basi mnakimbilia kusema kagoogle.
kumbe na wewe ndo walewale.vp huko mbagara hawajambo lakin?.lol
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom