Mlimani city "kama nawatch movie"!

Ha ha haaa walmart ije bongo? itakuwa balaa labda Food basic, independent grouceries, loblaws ya south keys. hiyo tu mlimani city watu wakiwa hapo wanaona wao wameyapatia maisha!
kuna mbwembwe pale mkubwa utafikiri tuko nchi za wenzetu sikatai kila mtu anauhuru wa kuishi atakavyo ila nlibadilishiwa lugha mle ndani mpaka nkajiuliza hii slang yangu ya Sellotape itabamba huku kweli
 
mkuu hapo kwenye! red .. nilipata shori flani alinambia tukutane hapo.. ebana balaa.. niliingia vichomi! ilibidi nimwambie ebana bili si nusu kwa nusu ...

duu viper, umeniumiza kumoyo, yaani bill ya starbucks ikutie vichomi? mbona sio kiviiiiiiiiiiiiiiile, kama vipi ungepiga mwendo wa cappuccino only bila ya kitafunwa.
 
Mlimani City kwani nayo mall hiyo? Hata strip malls za mbele ni kali kuliko hiyo Mlimani City. Kwanza imekaa kama banda flani la kuku wa mayai hivi....
unaweza ukantajia mall ya ukweli bongo labda nnaweza kuta huko watu wako real???
 
Bloomingdales, Nordstrom, Nieman Marcus, Dillards, Saks Fifth Avenue, Lord & Taylor, Brooks Brothers, Coach, Talbots, Starbucks, Aeropostale, Tory Burch, Filene's Basement, Stuart Weitzman, DKNY, Cartier, etc. etc.
NN na wewe kumbe ni wale wale!!
 
kariakoo ni mkusanyiko wa maGenge, nauliza malls?
Bongo na malls wapi na wapi? Wewe ndiye wale wale mnaopretend siyo wabongo! Mnadharau vya kwenu! Kariakoo kwangu is everything! Sioni sehemu nyingine nayoweza kufanya shopping ya uhakika na kwa garama nafuu kama Kariakoo!
 
Na magenge ndio size yetu!!Sio lazima kila kitu tuige....ukitaka mall za maana nenda majuuu!
ishu siyo majuu nao wanakuja huku'najua tumekuzwa na magenge nauliza bongo malls za ukweli !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom