FIKRA MBADALA
Senior Member
- Jun 30, 2008
- 167
- 16
shindano lilianza tangu 2009, iweje wao watujulishe 2011 tena mwezi mmoja kabla ya deadline. Washenzi kabisa, na bado. Walitaka huo uwe mtaji wao wa kisiasa 2011
mchakato ulianza mwaka 2009 hakuna aliyejua mlima wetu utapita kati ya majina mengi yaliyotajwa kushindanishwa hadi karibuni ulipotajwa kufika fainali na kutakiwa kupigiwa kura. tusingeambiwa kupiga kura wakati hatua haijafika na hakuna aliyejua utachaguliwa