Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako

kwani wanaoenda ktk kampeni lazima awe mtu mzima mbona mimi naendaga na marafiki zangu na wala sijafikisha 23...........wakati nasoma shule moja ya msingi alikuja mtu wa ccm karibu na uwanja wa shule yetu basi siku iyo yote hatukusoma tuliambiwa tuende hapo uwanjani ivo kwa uwezo wangu wa kufikiri AMINATA 9 hajafikisha hata 25 kama uongo abishe nimpe sababu
pili huyo mtu itakua si chama tawala na sio lazima awe wale walioshinda itakua anaweza kua hata wale waliopendekezwa tu(mana vyama upinzani kuna vijana wengi) ila tawala ni vibabu vingi mnooooo
samahani kama nimechambua sana ila nina uhakika ww ni msichana mdogo bado YANI HUJAFIKISHA 25..........na ilo huwezi kubisha
ninawasiwasi na wewe unaweza kua mke mwenza
si bure mineno yote hiyo kukutoka
sasa u better back off
 
Mimi tulikutana wote guest ..tukitafuta room kwa ajili ya show time ,amini sikutegemea hali ile.


If it isn’t perfect ,it’s not good enough
 
Mimi nilikutana naye kwenye kilabu cha pombe za asili.Nilimkuta anabugia mbege yake polepole.Basi,nikamuomba tuketi wote.Gradually, tukaanza mazungumzo ya hapa na pale kuhusu maisha.Nikaagiza nyama choma ikitusindikiza na mbege.
 
Back
Top Bottom