Mlevi

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mlevi anarudi nyumbani usiku wa manane huku anawaza leo atafanyaje ili mke afungue mlango bila kumgombeza,maana siku zote akichelewa anapigiwa kelele.
Akagonga mlango halafu mke akaja kufungua bila kuongea au kumgombeza halafu akaondoka zake.
Jamaa akaanza kumsemesha mwanae "imekwaje leo mama hagombi amenyamaza tu?
mtoto akajibu "aliniomba lipstick nikampa super glue"
 
ya lipstick tena??nadhani alikuwa anakuja kwangu.....ndo maana jana hakuja!
 
yah, hii imetulia kaka ka kweli picha yako ina-present jinsia yako coz id yako ni sexless
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom