Mlevi na mchungaji

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Mchungaji alikuwa anawaongoza kondoo wake. Kati ya waliokuwepo kanisani ni mzee mmoja mlevi, kibogoyo, meno yote yametoka kwa gongo. Katika mahubiri yake, mchungaji alitamka.
"Tujiepushe na dhambi. Tukumbuke siku ya hukumu kwani kwa hakikia adhabu ya Bwana ni kubwa. Ni siku ya kilio na kusga meno".
Mlevi kibogoyo akasema kwa sauti:
"Bwana Asifiwe. Ole wenu wenye meno, mtakiona".
 
Back
Top Bottom