Mlevi na daladala.

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,569
2,068
Kuna mlevi alipanda daladala, kwa bahati alikaa siti moja na Padre. Yule Padre kwa upole akamwambia yule mlevi 'nakuonea huruma sababu unaenda motoni bila kujijua'.

Yule mlevi akashtuka na kuanza kupiga kelele 'wewe dereva, simamisha gari mie sielekei motoni, naelekea Magomeni' abiria wote hoi!!!
 
Kuna mlevi alipanda daladala, kwa bahati alikaa siti moja na Padre. Yule Padre kwa upole akamwambia yule mlevi 'nakuonea huruma sababu unaenda motoni bila kujijua'. Yule mlevi akashtuka na kuanza kupiga kelele 'wewe dereva, simamisha gari mie sielekei motoni, naelekea Magomeni' abiria wote hoi!!!

Nahisi mungu yuko mbali na wanadamu
 
Mapadre nao wawe na busara utamsomeshaje mtu yupo matingas na yeye kafuata verse ya bible ili asahau shida zake
 
Methali 31: 4.. Ee Lemueli, kunywa
mvinyo hakuwafai
wafalme, hakuwafai
wafalme; Wala haifai
wakuu waseme, Ki wapi
kileo?
Lemueli, ne karaliams
gerti vyną, ne
kunigaikščiams stiprius
gėrimus,
5. Wasije wakanywa na
kuisahau sheria, Na
kuipotosha hukumu ya
mtu aliye taabuni.
kad prisigėrę jie
nepamirštų įstatymo ir
neiškraipytų teisingumo
prispaustiesiems.
6. Mpe kileo yeye aliye
karibu na kupotea; Kampe
divai yeye aliye na
uchungu nafsini.
Duok stiprius gėrimus
nelaimingiems ir vyną
liūdinčioms sieloms.
7. Anywe akausahau
umaskini wake;
Asiikumbuke tena taabu
yake.
Tegul jie pasigeria ir
užmiršta savo vargus ir
skurdą.
 
Kuna mlevi alipanda daladala, kwa bahati alikaa siti moja na Padre. Yule Padre kwa upole akamwambia yule mlevi 'nakuonea huruma sababu unaenda motoni bila kujijua'. Yule mlevi akashtuka na kuanza kupiga kelele 'wewe dereva, simamisha gari mie sielekei motoni, naelekea Magomeni' abiria wote hoi!!!
Hahahaha hahahah hahaha!
Aiseeeee!nakushukuru mkuu!
 
Back
Top Bottom