Mlevi alie okoka

Mkubwa Jalala

Senior Member
Mar 21, 2012
112
23
Kuna jamaa m1 alikua mlevi sana kunasiku alihubiriwa na kukubali kuokoka.
Mchungaji akamzamisha kwenye maji alipo muibua akamwabia sasa umezaliwa
upya na umekuwa kiumbe kipya hutoitwa Ngajiro tena sasa jinalako litakuwa Joseph.
Yule mlevi alipo rudi nyumbani alichukua chupa ya Bia na akaitumbukiza kwenye ndoo ya maji
alipoitoa akasema sasaumezaliwa upya hutoitwa Safari tena jina lako ni Fanta.
 
Isingelenga kudhalilisha imani za watu ingechekesha sana but for that reason INAKERA MBAYA
 
Huyo mlevi ana akili yaani badala ya bia sa atatumia fanta walevi wakiiga mfano huu itakuwa nzuri
 
Huyo mlevi ana akili yaani badala ya bia sa atatumia fanta walevi wakiiga mfano huu itakuwa nzuri

haa haa hamna kitu,, fanta ina madhara makubwa kuliko bia, amini usiamini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom