Mlevi aleta Kizaazaa nmb arusha baada yakutaka kumnyanga asikari bunduki

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Risasi simerindima nmb tawi la sokoni baada ya mtu anadhaniwa kalewa kuleta furugu ndani ya benk ya nmb ndipo masikari wanalinda benk hiyo walipo mkamata baada yakukamatwa alianza kungangana nao kutaka kuwanynganya bunduki nawatu kuanza kusogelea ndipo masikari hao walipohamua kupiga risasi juu ilikutawanya raia hadi ffu wanaingia taruki bado ilikuwa ikiendelea huku baadhi ya watu wakihizi niwezi wmejidai kuwa wamelewa
 
hUYO ni mlevi kweli ama kichaa maana nimemwona anangeu huku akibubujikwa na damu kichwani vipi hakupora na sasa yupo wapi tufahamishe
 
hUYO ni mlevi kweli ama kichaa maana nimemwona anangeu huku akibubujikwa na damu kichwani vipi hakupora na sasa yupo wapi tufahamishe
siyo kichaa
bali damu ulizoziona nikichapo alipwa kichapo mpaka raia wakaingilia kati nakuanza kurusha mawe ndani ya benk ilikumwokoa siunajua hapa nisokoni na wamama wana uruma sana ilikuwa patashika ya ainayake mpaka ffu walipoingia nakutawanya nakondoka naye
 
huenda alikuwa ni mwizi akaishiwa janja akajifanya mlezi. angefanikiwa kunyanganya askari silaha tungekuwa tunaongea mengine kwa sasa.
 
Back
Top Bottom