Mlevi akikojoaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Pembeni ya baa inayouza pombe za kienyeji kulikuwa na mlevi mmoja aliyekuwa anakojoa huku akitoa vijampo kwa sauti kubwa iliyokuwa ikiwakera walevi wenzie.Ndipo walipomuuliza mbona unakojoa huku ukijampa sana.Yule mlevi akawajibu mliwahiona wapi mvua ikinyesha bila ngurumo za radi????
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom