mleteni Irene Uwoya

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
jamani mwenye mawasiliano yeyote ya irene uwoya anipe tafadhali,nataka nimuoe ili ajifunze kuishi na mwanamume masikini!fasta please...
 
jamani mwenye mawasiliano yeyote ya irene uwoya anipe tafadhali,nataka nimuoe ili ajifunze kuishi na mwanamume masikini!fasta please...

Acha kuleta masikhara, Irene Uwoya kaolewa na Ndikumana aka Katauti. Japokuwa ndoa yake ina shida lakini hajapewa talaka.

Halafu yule demu anapenda fedha hivyo umaskini wako sidhani kama ataukubali labda ukamuone Ngonyani aka Maji Marefu ili umpumbaze kama imani hiyo inafanya kazo bado.
 
Back
Top Bottom