Mlemavu Sara wa Makete.

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Nilipoona mazingira ya kufilisika kwa Sara aliyepewa bajaj na mr President, nilitafakari ya kwamba, kumpa hiyo bajaj bila msaada wa mafuta ya kuiendeshea kumepelekea, duka lake kufilisika.
Msaada ni msaada, lakini msaada ule toka kwa kiongozi wa juu wa nchi mi naona ni kichekesho na kejeli.
Anaweza kumfanyia msaada wenye kumkomboa, yeye pamoja na familia yake.
 
Mimi pia nilihuzunika sana nilipoona kipindi hicho.Duka limebaki tupu kabisaaa...Nadhani ni bora angeimbia halmashauri impe mafuta hat lita 5 kila siku.kwa bajaj ni mafuta meng sana hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom