Mla vya wenzie na vyake huliwa

la Jeneral

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
392
57
watu bwana wanapenda kula vya wenzao vyakwao wanabanabana,sasa unataka vyako ukale na bibi yako,acha ako ka tabia,ukijua kula ujue na kuliwa ebooo?inahusu:A S shade:
 
Na wewe si unapendaga kula vya watu....! Basi na ujue na vyako huliwa....!!! Hivyo, acha ufataki, japo ufataki Tanzania una nafasi kubwa kushika uongozi wa juu...!
 
watu bwana wanapenda kula vya wenzao vyakwao wanabanabana,sasa unataka vyako ukale na bibi yako,acha ako ka tabia,ukijua kula ujue na kuliwa ebooo?inahusu:A S shade:

Teh teh teh!!!!!!!! Ujumbe tosha mkuu. Ngoja nikaiprint hii thread kwa ajili ya rafiki yangu anaypenda kufataki wake za wenzake, tena ninaye hapa ofisini ila ametoka kidogo, akirudi tu anaikuta mezani!!
 
watu bwana wanapenda kula vya wenzao vyakwao wanabanabana,sasa unataka vyako ukale na bibi yako,acha ako ka tabia,ukijua kula ujue na kuliwa ebooo?inahusu:A S shade:
Hapo penye nyekundu pamenipa utata kidogo kupaelewa.....:suspicious:
 
Kabisa ila wanajua makusudi tu. we ule vya wenzako vya kwako visiliwe nani kakwambia???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom