Mkwere kufungua jiwe la shule ya msingi loliondo

Susy

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
1,431
221
Kwa habari nyepesi nyepesi nimesikia eti nanihiiiiiiii!!! Mkwere ataenda kufungua jiwe la shule ya msingi loliondo hivi karibuni.

Hivyo basi serikali imetoa tamko kuwa watu wasiende tena kwa babu, mpaka walioko kule warudi, hapa mie sielewi jamani!!

wana JF, hembu tuambiane ukweli, kwani arusha hakuna hata mkuu wa mkoa anayeweza kufungua jiwe la shule ya msingi??

Au ndio lbd anataka apitie na kwa babu???

nawakilisha!!!
 
Kufungua jiwe la shule ya msingi???????
Hili ni jambo jipya kabisa katika historia ya binadamu
 
Mbona kwenye dawa alikuwa mmoja wa waliokuwa wa mwanzo, alipoenda kufukua nyayo za binadamu wa kale Loliondo Unakumbuka?
 
ha hahaaaaaaaaaa!!!!!

naona anataka arudie mara ya pili!
 
ha hah aaaaaaaaaaaaaaaaa raia fulani lol!!
 
Ivuga na jukwaa lenyewe unalionaje????????

au hujui upo katika jukwaaa gani??
 
Back
Top Bottom