Mkwawa University: Wanafunzi hewa watafuna mil. 66/-

Hacheni watu wafaudu nchi yao!
mbona za wabunge haohao wa kamati wanapolazimisha Posho zao za wizi tunalia lakini hakuna anayesikia??
Utasikia Waziri wenu Mkuu, naye anasema heti wanamadeni mengi hivo waongezwe Posho!
hivi ukikopa..kumbe serikali inalazimika kukuongezea kipato???
Mbona kada nyingine, mfano waalimu wa shule za msingi, mapolisi etc wenye mishahara midogo
wanapokopa na kurudi na Salary Slips bila hela kila mwisho wa mwezi hatujawai sikia wakisemewa
kuongezwa posho? mbaya zaidi hata madeni yao ulipwa kwa shida kwelikweli!!
HAYA NDIYO MADHARA YA KUCHAGUA VIONGOZI V*I*L*A*Z*A, AMBAO PIA WANAFANYA
uteuzi ulaza!
waliokula hela za EPA wako wapi??
eeeeh Mungu inusuru hii nchi kutoka kwenye mapanga na mishale iliyo mbele yetu!
 
:eyebrows:Haya mbona ya kawaida! Mkwawa ni kataasisi kadogo sana,
kuna uozo sehemu nyingi kubwa kubwa tu lakini kama hawaoni vile!
kamati ya Bunge isitafute SIFA za KIJINGA!

Umenena Mkuu, kama wamegundua ushahidi wawapelekee TAKUKURU
Katiba haijawapa wabunge nguvu za kupeleleza na kupeleka watuhumiwa mahakamani
vinginevyo kila sehemu watu wanataka umaarufu wa kisiasa, kama ni taarifa ya CAG
ingepelekwa TAKUKURU moja kwa moja, wao wajulishwe hatua zilizochukuliwa na TAKUKURU
basi. Ndiyo maana waliwamshindwa Jairo na Luhanjo.... walivuka mipaka yao
 
Hii nchi pumbavu sana leo wanajidai kusema pesa zimeliwa Mkwawa mbona pesa za EPA waliokula hwajafungwa na ni pesa nyingi za walipa kodi hawa wabunge wasituchanganye wao kama wana uchungu na pesa za serikali wawafunge wote waliofilisi serikali waanzie na mzee wa kaya kwani yupo kwenye kashfa ya Richmond
 
Back
Top Bottom