Mkwawa High School mpo?

hello Jf Members
I'am a new member,i salute you all
good day!

baada ya salamu naomba nami niikumbushe mkwawa kwa kweli mmenikumbusha mbali enzi hizo,nakumbuka ugonjwa wa kipindupindu ulienea sana Iringa tukapewa Tetracycline kwa ajili ya kinga na wengine zilitusumbua sana,nikimkumbuka yule mama alikua anafundisha Biology nimemsahau jina alikua anakaa kule Magembe West,naomba mnikumbushe jamani na yule mwalimu mrefu wa kihaya nimesahau jina lake lakini kama Ruta..... something like that,nakumbuka pia yule jamaa alikuwa kiranja wa Bwalo somebody Francis Kayombo aaaaaa Mkwawa jamani.
Long Live Mkwawa
 
kulikuwa na Machua na wajane. hahahah! Machua ukichukua Mjane inakuwa big deal. ila safi sanaa.
 
Mkwawa ni noma mazee, yaani kule kama mtu hukudata basi, ni makosa ya majirani zako.

Ukiachana na mambo ya makanyagio, kuna kile kilima cha kuelekea lugalo, maelewano bomba tatu, kazi kilimani kama sio embakasy.

Wadau mupoo, afu kwa taarifa mgohamwende ni boonge la snak... Mkwawa ilikuwa ki zaidi ya shule kulikuwa na wanafunzi na wafanyakazi, akili kumkichwa
 
Teh teh teh? Mnakumbuka ile choo ya nyuma ya rumumba east? ukienda kun** inabidi ukishadondosha mzigo tu uinuke kdg make ukichelewa mimaji inakurukia, duh ilikuwa game ya kuchekesha ""a matter of timing"" afu kuna mti pale katikati ya mak west na rum east watu walikojolea mpaka ukakauka lol!!
 
he he heeeeeeeee!!

Kwa wale wa 2000 - 2002, nadhani hamjamsahau Mbao, Tende na Mgimwa D. Afu kuna limwalimu lilikuwa linakaa makongoro east lilikuwa jeusi tiii alafu bayaaaaa na lilikuwa na roho ya kikatili, yaani typical kama idd amin!!
 
Then madem walikuwa wanaogea nje!! ukitoka nje asbh sana unaona video tu mi nilikuwa lazima nipigie muswaki outside ili nisafishe macho!!
 
mkwawaaaaaaa....duu nakumbuka ndani ya mak east tulikuwa tunaiba mahindi ya waalimu tunapigia juu ya dari mida ya usiku...noma kichizi...halafu kula tunalia nyuma ya jengo kimtindo harufu ya toilet inatisha.

nakumbuka one tyme wakaintroduce mageti tuwe tunaenda class asubuhi dormitory zifungwe..siwahuni tukatia sindano rungu kwenye matundu ya funguo za makufuli yote na tukaendelea kulala kama kawa...nguwi akija kutukimbiza tunapitia madirishani.
wadau wakongwe kiasi mnakumbuka kuna jamaa alikuwa anatuibia mablanketi na pasi nguo n.k anaenda kuuza town ili amlishe wali wa kwa chuwa gembe lake moja hivi...si ndo sikumoja jumba bovu likamuangukia....MKWAWA ZAIDI YA UNAVYOIFAHAMU..leo ndio hiyooo union-versity.
 
Nafurahi sana kuwapata hapa watu wa Mkwawa. Kweli jamani mahali pale pamebadilika sana. Mnaikumbuka 'gallery'? pale zimejengwa ngazi nyingine tena, zinaonekana ukusimama pale 'bomba tatu'. mpo?
 
Nadhani wameharibu kuibadlisha mkwawa yetu kuwa university, imepoa na kupungua hadhi yake, hivi jamani Mwaipaja yuko wapi siku hizi, Senior academic master
J
mtaalaamu wa hesabu...! nawapa hi PCM waliomaliza 1998
 
hahahaaaa manyanga umenikumbusha mbali, jamaa alikuwa anajidai haendi DH yeye na gembe lake kumbe kwa hela za pasi, viatu na suruali za wizi, kweli jamaa alijua kupenda...nakumbuka jinsi tulivyosimamishwa paredi mhalifu atafutwe, ashukuru bila polisi nadhani tungemla nyama mwizi mkubwa....
 
hahahaaaa manyanga umenikumbusha mbali, jamaa alikuwa anajidai haendi DH yeye na gembe lake kumbe kwa hela za pasi, viatu na suruali za wizi, kweli jamaa alijua kupenda...nakumbuka jinsi tulivyosimamishwa paredi mhalifu atafutwe, ashukuru bila polisi nadhani tungemla nyama mwizi mkubwa....

Bibi kizee na wewe ulikuwa ni mhanga wa huo wizi wa pasi, kwani na wewe ulikuwa ni mmoja wa GEMBES
 
ni kweli nilikuwa gembe kipindi hicho ila sisi ndio wale ambao ni kama kawaida never miss DH, umejitahid saaaana makanyagio...au kuwahisha kibakuli kwa wa-mama once per month!!! ,
 
Jamani mkwawa we acha tu umenikumbusha enzi za machua na wajane. Mi nilihamia pale form five term ya pili mwaka 2001.Si nikapangwa shebi common room. Nikawa na form six kibao akina skavenja bwana eee nilipiga sana deki ile common room. Ticha letu la bweni linaitwa Ngimba lilikuwa noko vibaya ile morning likikustua linakutoa benzi mpaka makanyagio ila ukiingia kwa chuwa linamwogopa si alikuwa baunsa.Kuna choo pale shebi kilikuwa open roof yaani " shimo la maji machafu bila mfuniko" basi mida ya kuanzia saa moja unakuta msela kachuchumaa pale kumbe anakata gogo.
Yani mambo ya mkwawa bwana toilet pepa zilikuwa adimu mtu akitaka kwenda toi unakuta kachukua karatasi analifikicha kama analifua hivi likilainika linakuwa tp. Kuna jamaa alikuwa anaitwa aka scavenger 2002 alikuwa havai chupi hata siku moja. Kuna jamaa a.k.a mbufye alikuwa haogi anaweza akakata hata mwezi na nusu hajaoga yeye
paspoti tu.
Unakumbuka zile rollcall za saa kumi na moja halafu mnapangiwa kupasua kuni masela, kuosha madish magembe.
Kuna jamaa alikuwa naitwa mujuni alikuwa analala juu ya dali, jioni anakula mapera siku ya kumtoa juu ya dari ilibidi mbao aje shebi west akamsihi ashuke maana jamaa alikuwa baunsa.

Neno nisilolisahau mkwawa ni moja tu. DH hahahahahaha mkwawa for real ilikuwa so much to me. Big up guys.
 
Nafurahi sana kuwapata hapa watu wa Mkwawa. Kweli jamani mahali pale pamebadilika sana. Mnaikumbuka 'gallery'? pale zimejengwa ngazi nyingine tena, zinaonekana ukusimama pale 'bomba tatu'. mpo?

aise nina hamu sana ya kufika mkwawa mpya nikaone imekuwaje kwa sasa, inabidi nitafute muda kwakweli, hivi mabweni yamekuwa nini- au ndio hostel? majina yamebadilika au magembe na kongoro's kama kawaida!! vipi maji, ah nakumbuka kile kisima kuleee ukikatiza uwanja!!
 
ni kweli nilikuwa gembe kipindi hicho ila sisi ndio wale ambao ni kama kawaida never miss DH, umejitahid saaaana makanyagio...au kuwahisha kibakuli kwa wa-mama once per month!!! ,

Na wewe ulikuwa Table Leader kama mimi? kwa sababu ma Table leader ilikuwa ni lazima utie timu DH. Siku moja moja Makanyagio kwa Newton au Chuwa!!!
 
ah! wana mkwawaa! kwa Baba Gadiel Tende, mnamkumbuka mkandarasii? je love square bado pana 2mika au ndo mambo ya chuo changes! mzee wa povu mmemsahau! makanyagio usiku kucheki pilau do u rem! Ditrik wa kiepe yupoo! ah! NEWTON HATUNAYE(R.I.P) Boda la kwenda lugalo ktk mlima Mnalikumbuka. Ebwanae Ruaha int. cku hizi ni lodge no disko. Je mnaremba BRAZA PIMBI WA NIDHAMU... MGIMWAA! OYAA PAMOKO WANAA! Mungu ibariki mkwawaaa!
 
Head Master - Mgohamwenda
Second Master - Ngui
Nidhamu - Mgimwa

Kweli mkwawa kulikuwa na Vichwa vya aina yake!!!
 
Mwana newton katutokaje? Nani kati yenu alishapanda zile 15 steps za staff room. Bond za mkwawa bwana zilikuwa za aina yake. Nyingine za kusoma tu nyingine za mapenzi.
 
Watu wa language nafkir mnamrem Masatu mzee wa hasira za faru, Shaban ist hukoo! kihava wa history mzee wa shalo! geog mshamrem Mirambo almaarufu Fantamagorian! NELKON nackia kasepeshwa na SENSA ya Taifa dah! ndo lyf wanaa! pamojaa! gawa nyuuz!
 
Back
Top Bottom