Sio hio tu hata majani ya chai......Mkuu Lunyungu niko tIGo siku nyiingi
Wewe Lunyungu sasa unaishiwa, yaani watu wasitumie vodacom au bidhaa za Rostam Azizi kisha watatumia nini? Rostam amekukosea nini mpaka ukatae kutumia bidhaa zake?
Je watanzania wako makini kama wakenya, nafikiri hapa siyo kuwasusia Vodacom hila ni kususia biashara zote zilizopatikana kwa njia ya kifisadi. Hivyo kama hata Vodacom inaendeshwa na pesa za Kifisadi haina shaka watanzania inatakiwa wachukue hatua. Lakini kama haiko katika makampuni yanayo pata missada au vyanzo vya pesa kifisadi wasipate adhabu hiyo.
Kakindo
Rostam & Lowasa ulizia vyema utaambiwa mambo yao na Vodacom.Rostam ni share holder hili liko wazi .
Supermarket gani iliyosusiwa Kenya, Uchumi Supermarket??
Caspian ni ya Rostam
Planetel ni ya Noni
Alphatel, Shivacom na Zefona ni super dealers wa Vodacom Tanzania..mgawanyo wao wa shares sijui umekaaje....