Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,064
- 2,301
Duh! hii kali mkuu Halisi
yaani bado rostam na genge lake wana imani kuwa watarudi madarakani kwa kutumia pesa.
Haya bana yetu macho.
Anayechaguliwa na CCM kuwa mgombea urais huwa ndie Rais ajaye wa Tanzania?